Timu zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Dunia Vilabu 2025

Timu zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Dunia Vilabu 2025

  1. Real Madrid
  2. Borussia Dortmund
  3. Paris Saint-Germain (PSG)
  4. Bayern Munich
  5. Chelsea
  6. Palmeiras
  7. Fluminense
  8. Al Hilal

Timu zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Dunia Vilabu 2025

Ratiba ya Mechi za Robo Fainali

Kwa mujibu wa ratiba rasmi, mechi za hatua ya robo fainali Kombe la Dunia Vilabu 2025 zinatarajiwa kuchezwa kati ya tarehe 4 na 5 Julai 2025. Hii hapa ni orodha ya michuano hiyo mikubwa:

  • Real Madrid vs Borussia Dortmund
  • Paris Saint-Germain vs Bayern Munich
  • Chelsea vs Palmeiras
  • Fluminense vs Al Hilal

Mashabiki wa soka duniani kote wanatarajia kuona ushindani wa hali ya juu, hasa kutokana na ukubwa wa timu zinazoshiriki. Mechi hizi zinaleta mvuto wa kipekee kwa kuwa zinawakutanisha mabingwa kutoka mabara tofauti katika pambano la kutafuta bingwa wa dunia kwa ngazi ya vilabu.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Chelsea Yamwaga Paundi Milioni 60 Kumsajili Mshambuliaji Joao Pedro
  2. Makombe ya Yanga 2024/2025
  3. Yanga SC Kusherehekea Vikombe 5 Leo Jijini Dar – Paredi Kubwa Yatarajiwa
  4. Messi Aondolewa Kombe la Dunia la Klabu Baada ya PSG Kuicharaza Inter Miami 4-0
  5. Yanga SC Yaibuka Bingwa wa Kombe la CRDB Baada ya Kuicharaza Singida BS 2-0
  6. Kikosi cha Yanga vs Singida Black Stars Leo 29/06/2025 Fainali ya CRDB
  7. Chelsea Yajipanga Kuzima Moto wa Di Maria Katika Mechi ya Usiku Dhidi ya Benfica
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo