Vituo vya Kukata Tiketi Mechi ya Ngao ya Jamii Yanga vs Simba
Mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba inatarajiwa kuwa moja ya matukio makubwa zaidi katika kalenda ya michezo ya Tanzania. Ili kuhakikisha mashabiki wote wanaweza kushiriki katika tukio hili muhimu, tiketi zinapatikana katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam na mikoani. Ifuatayo ni orodha ya vituo vya kukata tiketi.
- View Blue Sky (Mikocheni)
- Newtech General Traders & Supplier (Ubungo)
- Sabana Business Center (Majimatitu)
- Jackson Kimambo (Ubungo (Kibo))
- Sandaland Sport Wear (Kariakoo)
- Melele Sport Wear (Kariakoo)
- Vunja Bei (T) Group Limited (Sinza)
- Vunja Bei (T) Group Limited (Kinondoni)
- Vunja Bei (T) Group Limited (Mbeya)
- Fusion Sport Wear (Posta)
- Alphan Mohammed Hing’aa (Ubungo(Oilcom))
- Juma Burrah (Mbeya)
- Juma Burrah (Msimbazi Center)
- Mawakala Wote Wa Nbc
Mapendekezo ya mhariri:
- Matokeo ya Ngao ya Jamii 2024
- Washindi wa Ngao ya Jamii Miaka Yote
- Mechi ya Yanga Vs Simba Kesho Saa Ngapi, Wapi, na Jinsi ya Kuitazama
- Rekodi za Simba na Yanga Kufungana
- TFF Kutoa Adhabu Kali kwa Maofisa Habari Wachekeshaji
- Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
- Waamuzi Mechi ya Yanga Vs Simba 08/08/2024
Weka Komenti