Vituo vya Kununua Tiketi za Siku ya Yanga DAY 2025

Vituo vya Kununua Tiketi za Siku ya Yanga DAY 2025

Kuelekea tamasha kubwa la Yanga Day 2025 litakalofanyika tarehe 12 Septemba 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, uongozi wa Yanga SC umetangaza rasmi vituo vya mauzo ya tiketi ili kuhakikisha kila shabiki anapata nafasi ya kushiriki. Mashabiki wanahimizwa kununua tiketi mapema kupitia vituo vilivyoorodheshwa hapa chini.

Orodha ya Vituo vya Kununua Tiketi Yanga Day 2025

  1. Young Africans – Jangwani
  2. Vunja Bei – Dar es Salaam Shops
  3. T-Money Ltd – Kigamboni
  4. Gitano Samwel – Mbagala Zakhem
  5. Khalfan Mohamed – Ilala
  6. Lampard Electronics
  7. Gwambina Lounge – Gwambina
  8. Karoshy Pamba – Dar Live (Zakhem)
  9. Antonio Service – Sinza, Kivukoni
  10. Tumpe Kamwela – Kigamboni
  11. Sovereign – Kinondoni Makaburini
  12. View Blue Skyline – Mikocheni
  13. Mkaluka Traders – Machinga Complex
  14. New Tech General Traders – Ubungo
  15. Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
  16. Juma Burrah – Kivukoni
  17. Juma Burrah – Msimbazi
  18. Alphan Hinga – Ubungo
  19. Mtemba Service Co – Temeke
  20. Jackson Kimambo – Ubungo
  21. Shirima Shop – Leaders Club

Vituo vya Kununua Tiketi za Siku ya Yanga DAY 2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?
  2. Romain Folz Aitaja Simba Katika Maandalizi ya Mechi ya Yanga na Bandari
  3. Kocha Ken Odhiambo Asema Bandari Imejipanga Kumkabili Bingwa Yanga
  4. Bakari Mwamnyeto Atoa Wito Kwa Mashabiki Kujitokeza Kwa Mkapa
  5. Mbosso Avunja Rekodi za Burudani Simba Day Kwa Performance Bora Zaidi
  6. Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
  7. Kikosi cha Simba Sc 2025/2026
  8. Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo