Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa Stars Agosti 2024
Leo 26 Agosti 28, 2024, Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman, ametangaza kikosi kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kufuzu AFCON 2025. Michezo hiyo itahusisha mechi mbili dhidi ya Ethiopia na Guinea, ambazo zimepangwa kuchezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024. Katika kikosi hicho, Klabu ya Yanga imetoa wachezaji saba muhimu, ambao wanatarajiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kufanikisha safari ya Tanzania kuelekea AFCON 2025.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC, wameendelea kuthibitisha ubora wao katika soka la Tanzania kwa kutoa wachezaji saba kwenye kikosi cha Taifa Stars. Hawa ni wachezaji ambao wamekuwa na msimu mzuri na wanatarajiwa kuleta mabadiliko kwenye mechi za kufuzu michuano ya Afcon 2025 ambayo inatarajiwa kuchezeka Morocco:
Hawa apa Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu ya Taifa Stars
- Mshery (GK)
- Mwamnyeto (CB)
- Job (CB)
- Bacca (CB)
- Kibabage (LFB)
- Mudathir (CM)
- Mzize (CF)
Mapendekezo ya Mhariri:
- Kikosi cha Taifa Stars Kufuzu AFCON 2025
- Ratiba ya yanga Klabu Bingwa CAF 2024/2025
- Tabora united Yaibuka na Ushindi wa 2-1 Dhidi ya Namungo
- Ratiba Ya Simba Kombe la Shirikisho CAF Confederation Cup 2024/2025
- Ifahamu CBE SA Ya Ethiopia Wapinzani wa Yanga Klabu Bingwa
- Msimamo NBC Premier league 2024/2025 | Ligi Kuu Bara
Weka Komenti