Wachezaji wa Yanga Walioitwa Timu Zao za Taifa 2024
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC, wanazidi kuonyesha ubora wao ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Hii imethibitishwa na wachezaji wao kadhaa walioitwa kujiunga na timu zao za taifa kwa ajili ya mashindano ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Wachezaji hawa wanajumuisha vipaji kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika, wakionyesha nguvu ya kimataifa iliyopo ndani ya klabu ya Yanga. Hapa habari forum tumekuletea orodha ya wachezaji wote wa Yanga walioitwa kwenye timu za Taifa.
Jina la Mchezaji | Nchi |
Djigui Diarra | Mali |
Khalid Aucho | Uganda |
Clatous Chama | Zambia |
Kennedy Musonda | Zambia |
Prince Dube | Zimbabwe |
Duke Abuya | Kenya |
Clement Mzize | Tanzania |
Ibrahim Bacca | Tanzania |
Dickson Job | Tanzania |
Bakari Mwamnyeto | Tanzania |
Mudathir Yahya | Tanzania |
Kibwana Shomari | Tanzania |
Farid Mshery | Tanzania |
Aziz Ki | Burkina Faso |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti