Wachezaji Walioachwa na Azam 2024/2025

Wachezaji Walioachwa na Azam 2024/2025

Baada ya Msimu wa 2023/2024 kumalizika, Klabu ya Azam sasa imeanza rasmi zoezi la kuimarisha  kikosi chake kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya ambao bila shaka utakua wenye changamoto zaidi haswa baada ya kufuzu kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika ya CAF.

Katika msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 , Azam Fc iliweza kumaliza ikiwa katika nafasi ya pili juu ya Simba na kujikatia tiketi ya kushiriki michuano ya CAF Champions league uku Simba Sc kuelekea katika michuano ya Kombe la shirikisho. Msimu wa 2023/2024 haukua bora sana kwa Azam lakini bila shaka utakua miongoni mwa misimu ambayo Azam imeweza kuonesha kiwango kikubwa baada ya kufuku katika fainali za Tanzania FA cup ambapo kwa sasa hujulikana kama kombe la shirikisho la CRDB bank.

Wachezaji Walioachwa na Azam 2024/2025

Msimu mpya wa soka unapokaribia, Azam FC imefanya mabadiliko kadhaa kwenye kikosi chao, wachezaji kadhaa wakiagwa na wengine wapya wakitarajiwa kujiunga. Mabadiliko haya yameleta gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa soka nchini, huku kila mmoja akiwa na hamu ya kuona ni vipi yataathiri mwenendo wa timu katika msimu ujao wa 2024/2025.

Hapa tumekuletea orodha rasmi ya Wachezaji Walioachwa na Azam 2024/2025.

  1. Ayubu Reuben Lyanga
  2. Edward Manyama
  3. Malickou Ndoye
  4. Isah Aliyu Ndala

Wachezaji Walioachwa na Azam 2024/2025

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Simba SC Yachagua Ismailia, Misri Kwa Kambi Ya Kujiandaa Na Msimu Mpya
  2. Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2024/2025
  3. Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Yanga 2024/2025
  4. Simba Imetangaza Kuachana na Shaban Chilunda
  5. Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo