Wachezaji Waliosajiliwa Mashujaa Fc 2024/2025

Wachezaji Waliosajiliwa Mashujaa Fc 2024/2025: Klabu ya Mashujaa FC, iliyopanda daraja na kucheza Ligi Kuu Tanzania kwa mara ya kwanza msimu wa 2023/2024, imejidhihirisha kama timu yenye nguvu na ushindani. Katika msimu huo wa kwanza, Mashujaa FC ilimaliza katika nafasi ya 8, jambo ambalo liliwashangaza wengi kwa sababu walishinda michezo 9, kutoa sare michezo 9, na kupoteza michezo 12. Timu kama Tanzania Prisons, Kagera Sugar, JKT Tanzania, na Singida Big Stars zote zilipitwa na Mashujaa FC.

Kwa lengo la kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu wa 2024/2025, Mashujaa FC wamefanya usajili wa wachezaji wapya ambao watasaidia kuongeza nguvu na ufanisi wa timu. Hapa tunakuletea orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Mashujaa FC kwa msimu wa 2024/2025.

Wachezaji Waliosajiliwa Mashujaa Fc 2024/2025

  1. Carlos Protus
  2. Mathew Michael
  3. Ismail Mgunda
  4. Robert Mathias “Makidala”
  5. Yusuph Dunia
  6. Ally Nassoro

Wachezaji Waliosajiliwa Mashujaa Fc 2024/2025

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Wachezaji Wapya Yanga | Wachezaji Waliosajiliwa Yanga 2024/2025
  2. Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2024/2025
  3. Wachezaji Wapya Azam 2024/2025 (Wachezaji Waliosajiliwa Azam FC)
  4. Cv ya Karaboue Chamou Beki Mpya Wa Simba 2024/2025
  5. Timu Iliyopangwa na Yanga Klabu Bingwa CAF 2024/2025
  6. CV ya Valentin Nouma: Sifa Zote za Beki Mpya Simba 2024/2025
  7. Rasmi: Khomeini Abubakar Ajiunga na Yanga Akitokea Singida Black Star
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo