Wachezaji wenye Makombe Mengi Ya UEFA

Wachezaji wenye Makombe Mengi Ya UEFA | Orodha ya Wachezaji walioshinda Makombe Mengi ya UEFA

Kombe la mabingwa Barani Ulaya au UEFA Champions League kwa jina jingine ndio mashindano makubwa zaidi ya vilabu barani Ulaya, na kushinda taji hilo ni ndoto ya kila mchezaji. Katika historia ya mashindano haya, kuna wachezaji wachache waliobahatika kuinua kombe hilo mara nyingi zaidi ya wengine. Makala haya yanawaangazia wachezaji walioshinda vikombe vingi zaidi vya UEFA, huku tukielezea kwa kina rekodi zao za kipekee na michango yao katika vilabu walivyochezea.

Wachezaji wenye Makombe Mengi Ya UEFA

 

Wachezaji wenye Makombe Mengi Ya UEFA

Jina La MchezajiMakombeKlabu
Toni Kroos6Real Madrid
Luka Modric6Real Madrid
Nacho6Real Madrid
Dani Carvajal6Real Madrid
Paco Gento6Real Madrid
Cristiano Ronaldo5Manchester United, Real Madrid
Casemiro5Real Madrid
Gareth Bale5Real Madrid
Marcelo5Real Madrid
Isco5Real Madrid
Alessandro Costacurta5AC Milan
Paolo Maldini5AC Milan
Hector Rial5Real Madrid
Marquitos5Real Madrid
Lesmes II5Real Madrid
Enrique Mateos5Real Madrid
Alfredo di Stefano5Real Madrid
Jose Maria Zarraga5Real Madrid
Gareth Bale5Real Madrid
Marcelo5Real Madrid
Casemiro5Real Madrid
Karim Benzema5Real Madrid
Lucas Vazquez5Real Madrid
Clarence Seedorf4Ajax, Real Madrid, AC Milan
Raphael Varane4Real Madrid
Sergio Ramos4Real Madrid
Gerard Pique4Manchester United, Barcelona
Andres Iniesta4Barcelona
Xavi4Barcelona
Lionel Messi4Barcelona
Phil Neal4Liverpool
Joseito4Real Madrid
Jose SantamarĂ­a4Real Madrid
Juan Santisteban4Real Madrid
Juanito Alonso4Real Madrid
Samuel Eto’o4Barcelona, Inter, Real Madrid
Mateo Kovacic4Real Madrid, Chelsea
David Alaba4Bayern Munich, Real Madrid

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Idadi ya Makombe ya UEFA Real Madrid
  2. Viingilio vya Fainali ya Kombe la Shirikisho CRDB 2024: Bei na Maeneo ya Kununua Tiketi Yatangazwa!
  3. Ley Matampi Golikipa mwenye Clean Sheet Nyingi Ligi Kuu NBC 2023/2024
  4. Timu za Tanzania Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  5. Timu Zilizofuzu Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
  6. Muonekano wa Kombe La CRDB Federation Cup 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo