Wafungaji Bora Crdb Bank Federation Cup 2023/2024 | Vinara wa Magoli Kombe la Shirikisho la CRDB | Wachezaji wenye magoli meni CRDB Bank Federation Cup (Kombe la shirikisho la Azam)
Kombe la Shirikisho la CRDB Bank, zamani likijulikana kama Kombe la Azam Sports Federation, limekuwa jukwaa muhimu kwa vilabu vya Tanzania kuonyesha vipaji vyao na kupigania heshima kubwa katika soka la ndani.
Msimu wa 2023/2024 umekuwa wa kusisimua sana, ukiwa na ushindani mkali, mabao ya kuvutia, na nyota wapya wanaoibuka. Miongoni mwa mambo yaliyojitokeza zaidi ni uwezo wa wafungaji bora ambao wameacha alama zao kwenye michuano hii.
Hapa tumekusogezea orodha ya wafungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB Bank 2023/2024, wakipigania kufunga magoli yenye mchango mkubwa katika mafanikio ya timu zao na michuano kwa ujumla. Hawa ndio wachezaji waliotikisa nyavu mara kwa mara na kuacha mashabiki wa soka wakishangilia kwa furaha.
Wafungaji Bora CRDB Bank Federation Cup 2023/2024
- Clement Mzize Magoli 5 – Young Africans
- Edward Songo Magoli 5 – JKT Tanzania
- Yohana Mkomola Magoli 4 – Tabora United
- Joseph Guede Magoli 3 – Young Africans
- Sadio Kanoute Magoli 3 – Simba SC
- Kelvin Sabato Magoli 3 – Namungo FC
- George Chande Magoli 3 – TMA Stars
- Francis Joseph Magoli 3 – Mkwajuni FC
- George Komba Magoli 3 – Rhino Rangers
- Shaban Seif Magoli 3– Mbuni FC
- Wagana Paskas Magoli 3 – Biashara United
Machaguo ya Mhariri:
- Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024
- Wafungaji Bora EPL Ligi Kuu Uingereza 2023/24
- Vinara wa Assist Ligi Kuu NBC 2023/24: Wafalme wa Pasi za Mwisho Tanzania
- Orodha Ya Wafungaji Bora Ligi Kuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
- List Ya Wachezaji Wenye Magoli Mengi Duniani
- Vinara wa Clean Sheets Ligi Kuu NBC Premier League 2023/2024
- Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2023/2024 PBZ Premier League Table
- Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
Weka Komenti