Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2025/2026

Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2025/2026

Ligi Kuu Ujerumani almaharufu kama Bundesliga, ni moja ya ligi za soka zenye ushindani mkubwa na zinazofuatiliwa na wapendasoka wengi duniani. Kutokana na mvuto wa ligi hili, wachezaji mbalimbali wenye vipaji vikubwa vya soka kutoka maeneo mbalimbali ya dunia wamekua wakivutiwa kujiunga na timu zinazoshiriki ligi hili. Miongoni mwa timu bora kabisa zinazoshiriki ligi hili ni pamoja mabingwa wa kihistoria Bayern Munich, Bayer Leverkusen na Borussia Dortmund.

Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2025/2026

Huu Apa Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2025/2026

Nafasi Timu MP W D L GF GA GD Pts
1 Bayern Munich 3 3 0 0             14                2 12 9
2 Dortmund 3 2 1 0                8                3 5 7
3 FC Koln 3 2 1 0                8                4 4 7
4 Eintracht Frankfurt 3 2 0 1                8                5 3 6
5 Hoffenheim 3 2 0 1                7                6 1 6
6 RB Leipzig 3 2 0 1                3                6 -3 6
7 Wolfsburg 3 1 2 0                7                5 2 5
8 St. Pauli 2 1 1 0                5                3 2 4
9 Bayer Leverkusen 3 1 1 1                7                6 1 4
10 Augsburg 2 1 0 1                5                4 1 3
11 Stuttgart 3 1 0 2                3                5 -2 3
12 Freiburg 3 1 0 2                5                8 -3 3
13 Union Berlin 3 1 0 2                4                8 -4 3
14 B. Monchengladbach 2 0 1 1 0                1 -1 1
15 Mainz 3 0 1 2                1                3 -2 1
16 Werder Bremen 2 0 1 1                4                7 -3 1
17 Hamburger SV 3 0 1 2 0                7 -7 1
18 Heidenheim 3 0 0 3                1                7 -6 0

Vitu Muhimu Kuhusu Jedwali La Msimamo

  • MP- Michezo Iliyochezwa (Match Played)
  • W- Ushindi (Wins)
  • D- Sare (Draw)
  • L-Kufungwa (Lose)
  • GF- Magoli Ambayo Timu Imefunga (Goal For)
  • GA- Magoli Ambayo Timu Imefungwa (Goals Against)
  • GD- Tofauti Ya Magoli (Goal Difference)
  • PTS- Jumla Ya Alama (Points)
  • Watakao Shiriki Uefa Champions League: 1st, 2nd, 3rd, 4th
  • Watakao Shiriki Europa League: 5th
  • Watakao Shuka Daraja: 17th, 18th

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Juventus Yaicharaza Inter Milan 4-3 Ligi Kuu Italia
  2. Singida BS Yatinga Fainali ya CECAFA Kagame Cup Baada ya Kuifunga KMC 2-0
  3. Ratiba 16 Bora Ndondo Cup 2025
  4. Ratiba ya Mechi za Leo 14 September 2025
  5. Sare Dakika za Mwisho Yaizuia Chelsea Kukaa Kileleni mwa Msimamo wa EPL
  6. Mashabiki Wa Soka Wakimbizana na Tiketi za Kombe la Dunia 2026
  7. Vituo vya Kununua Tiketi za Siku ya Yanga DAY 2025
  8. Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo