Ratiba ya Mechi za CAF Leo 19 September 2025
Burudani ya soka leo inaendelea kwa mashabiki wote barani Afrika na duniani, ambapo viwanja mbalimbali vitawaka moto kupitia michuano ya ngazi ya juu ya CAF. Leo Tarehe 19 Septemba 2025, macho na masikio ya wapenzi wa kandanda yataelekezwa kwenye CAF Champions League na CAF Confederation Cup, michuano inayokutanisha vilabu vikubwa na vinavyopigania heshima barani.
Kwa wapenzi wa soka wa Afrika Mashariki, Kusini, Kaskazini na Magharibi, hii ndiyo ratiba ya mechi za CAF leo 19 September 2025:
Ratiba ya Mechi za CAF Champions League Leo
- ⏰ 17:00 – Dadjè vs Ahli Tripoli
- ⏰ 18:00 – Wiliete vs Young Africans (Yanga SC)
- ⏰ 19:00 – African Stars vs Vipers
- ⏰ 17:30 – Aigles vs Rivers United
Ratiba ya Mechi za CAF Confederation Cup Leo
- ⏰ 15:00 – Dicha vs Ittihad
- ⏰ 16:00 – Aigle Royal vs San-Pédro
- ⏰ 18:00 – NIGELEC vs Olympic Safi
- ⏰ 18:00 – Maniema Union vs Pamplemousses
- ⏰ 19:00 – USFA vs Gbohloé
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Mechi za Leo 18 September 2025
- Simba SC Yaondoka na Kikosi cha Wachezaji 23 kuelekea Botswana Leo 17/09/2025
- Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
- CAF Yaipiga Simba Faini ya Dola 50,000 na Marufuku ya Mashabiki
- Chama Aipa Singida Bs Ubingwa Wa CECAFA Kagame Cup 2025
- Bao la Dakika za Jioni Dhidi ya Burnley Lairudisha Liverpool kileleni EPL
- Man City Yaibuka na Ushindi wa 3-0 Dhidi ya Manchester United
Leave a Reply