Yanga SC Yamtangaza Pedro Gonçalves Kama Kocha Mkuu Mpya wa Timu
RASMI: Klabu ya Yanga Sc imetangaza kumteua aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya Angola, Pedro Gonçalves kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua mikoba ya Roman Folz aliyetupiwa virago. Gonçalves (49) raia wa Ureno amewahi pia kufanya kazi kama kocha wa kikosi cha vijana wa klabu ya Sporting Lisbon ya Ureno.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Singida BS VS Flambeau Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?
- Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?
- Matokeo ya Azam vs KMKM Leo 24/10/2025
- Yanga SC Yatangaza Kuachana na Kocha Wake Romain Folz
- Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
- Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026
- Matokeo ya Azam vs KMKM Leo 24/10/2025
- Pacome Anukia Kombe la Dunia Baada ya Ushindi 7-0 Dhidi ya Shelisheli
- Kaizer Chiefs Ya Thibitisha Kuachana na Kocha Nasreddine Nabi








Leave a Reply