Ratiba ya Mechi za Leo 07/12/2025 Ligi Kuu ya NBC
Saa 11:00 ni Mzizima Derby, Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa wanawaalika matajiri wa jiji AzamFC.
Saa 1:15 usiku, Coastal Union ‘Mangushi’ watakuwa uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakiwakaribisha mabingwa watetezi Yanga SC.
Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Mapendekezo ya Mhariri:









Leave a Reply