Msimamo wa Kundi C La Tanzania AFCON 2025
Nigeria na Tanzania leo tarehe 23/12/2025 ndizo zinafungua rasmi mbio za kumsaka bingwa wa Kundi C katika Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 linaloendelea nchini Morocco. Mchezo huu wa ufunguzi unabeba uzito mkubwa katika kuamua msimamo wa Kundi C la Tanzania AFCON 2025, kundi linalojumuisha mataifa manne yenye historia kubwa barani Afrika; Nigeria, Tanzania, Tunisia na Uganda.
Tangu Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) lilipotangaza makundi ya AFCON 2025, Kundi C limekuwa likitajwa kama mojawapo ya makundi magumu zaidi. Uwepo wa Nigeria yenye rekodi bora, Tunisia yenye uzoefu mkubwa wa michuano ya kimataifa, Uganda yenye ushindani wa kanda, pamoja na Tanzania inayotafuta historia mpya, kumechangia kwa kiasi kikubwa mvuto wa kundi hili.
Huu Apa Msimamo wa Kundi C La Tanzania AFCON 2025 (Imesasishwa 23/12/2025)
Mapendekezo ya Mhariri:








Leave a Reply