Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 10/02/2026
NBC Premier League leo Jumanne tareh 10 Februari 2026
Saa 8:00 mchana, Tanzania Prisons watakuwa nyumbani uwanja wa Sokoine wakiwakaribisha Coastal Union.
Saa 10:15 jioni, Pamba Jiji watakuwa nyumbani CCM Kirumba wakicheza na Namungo FC.
Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD
Mapendekezo ya Mhariri:
- Adidas Yazindua Mpira wa Fainali ya UEFA 2026 Itakayochezwa Budapest
- Man City Yapindua Meza Kibabe Ikiicharaza Liverpool Nyumbani
- Azam Yaandika Historia Mpya CAF Baada ya Kuvunja Rekodi ya Simba
- Droo ya Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Kufanyika Februari 09
- Hatma ya Vilabu vya Tanzania Kuelekea Robo Fainali CAF 2025/2026 Baada ya Mechi za Raundi ya Nne
- Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026









Leave a Reply