Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali

Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali

Timu ya Wananchi Yanga SC itashuka dimbani kuikabili JS Kabylie katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku wakisaka matokeo chanya kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo ndio mchezo utakao hitimisha michezo ya hatua ya makundi na unatarajiwa kufuatiliwa na mashabiki wengi, huku ratiba, saa ya kuanza na njia ya kuutazama zikithibitishwa rasmi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, Yanga itakuwa dimba la New Amaan Complex siku ya Jumapili, Februari 15, ikimenyana na wapinzani wao kutoka Algeria katika pambano lenye umuhimu wa kiushindani ndani ya ratiba ya michuano hiyo.

Soma Pia:

  1. Droo ya Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Kufanyika Februari 09
  2. Hatma ya Vilabu vya Tanzania Kuelekea Robo Fainali CAF 2025/2026 Baada ya Mechi za Raundi ya Nne
  3. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026

Tarehe na Saa ya Mchezo wa Yanga vs Kabylie

  • Tarehe: Jumapili, Februari 15
  • Uwanja: New Amaan Complex
  • Muda wa kuanza: Saa 1:00 usiku

Mechi ya Yanga vs Kabylie CAF ni Lini? Tarehe, Saa na Mahali

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Adidas Yazindua Mpira wa Fainali ya UEFA 2026 Itakayochezwa Budapest
  2. Man City Yapindua Meza Kibabe Ikiicharaza Liverpool Nyumbani
  3. Azam Yaandika Historia Mpya CAF Baada ya Kuvunja Rekodi ya Simba
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo