Kikosi cha Simba vs Gaborone United leo 20/09/2025
Wekundu wa msimbazi Simba wametangaza kikosi chao rasmi kitakachoshuka dimbani leo kuwakabili Gaborone United katika dimba la ugenini la obed itani chilume stadium 20/09/2025. Mchezo huu utaanza kutimua vumbi majira ya saa mbili kamili usiku kwa saa za Afrika mashiriki. Hapa chini ni orodha kamili ya nyota watakao unda kikosi cha kwanza cha mnyama Simba.
Hiki Apa Kikosi cha Simba vs Gaborone United leo 20/09/2025
- Camara (26)
- Chamou (2)
- Mligo (5)
- Kante (8)
- Ahoua (10)
- Kapombe (C) (12)
- De Reuck (23)
- Nabby (30)
- Mpanzu (34)
- Maema (35)
- Mwalimu (40)
WACHEZAJI WA AKIBA (SUBS)
- Yakoub
- Chasambi
- Nangu
- Mzamiru
- Kibu
- Morice
- Mukwala
- Sowah
- Mutale
Mapendekezo ya Mhariri:
- Viwango Vya FIFA Duniani 2025 (FIFA Rankings)
- Taifa Stars Yashuka Nafasi Nne Katika Orodha Mpya ya Viwango vya FIFA
- Benfica Yampa Mourinho Kibarua cha Kuiongoza kwa Miaka Miwili
- Yanga Yaanza Msimu wa Ligi ya Mabingwa Kwa Ushindi wa 3-0
- TRA Yaingia Rasmi Kwenye Michezo Baada ya Kuinunua Tabora United
- Matokeo Wiliete Sc vs Yanga Leo 19/09/2025
- Kikosi cha Yanga vs Wiliete Sc Leo 19/09/2025
Leave a Reply