Hiki Apa Kikosi cha Yanga Vs Coastal Union Leo 07/12/2025
Katika muendelezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, mabingwa watetezi Yanga SC wanashuka dimbani leo saa 1:15 usiku kuwavaa wenyeji Coastal Union katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Mchezo huu ni sehemu ya ratiba ya NBC Premier League Tanzania na utarushwa mubashara kupitia AzamSports1HD.
Kikosi cha Yanga Leo Dhidi ya Coastal Union
Kutokana na taarifa za klabu, kikosi cha kwanza kilichotangazwa kinaonekana kama ifuatavyo:
Starting XI
- 16 Mshery
- 12 Kibwa na
- 15 Hussein
- 5 Job (C)
- 36 Assink
- 38 Abuya
- 11 Ecua
- 7 Maxi
- 29 Dube
- 19 Doumbia
- 10 Pacome
Wachezaji waliopo benchi: Khomeiny, Abubakar, Boka, Abdulnassir, Conte, Kouma, Chikola, SureBoy, Boyeli.
Matarajio ya Mchezo
Pande zote mbili zimekuwa zikijipanga vikali kuelekea mchezo huu. Coastal Union, ambao kwa mara kadhaa wameshikilia rekodi ya kutoa ushindani mkali nyumbani, wanatarajiwa kutumia faida ya dimba la Jamhuri kupambana dhidi ya kikosi chenye uzoefu kikubwa cha Yanga SC. Kwa upande mwingine, Yanga SC wanaingia uwanjani wakilenga kuendeleza kasi yao ya msimu huu. Mmoja wa maofisa wa timu alinukuliwa akisema kuwa “malengo ni moja—kupata pointi tatu muhimu na kuendelea kusalia kileleni.”
Mapendekezo ya Mhariri:







Leave a Reply