Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025

Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara NBC na Kombe la Shirikisho la CRDB Bank Federation Cup Yanga SC wameweka wazi ratiba ya michezo yao ya pre-season ambayo inatarajiwa kuanza kuchezeka Julai 20 Afrika Kusini.

Baada ya kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali, sasa mashabiki wa Yanga wataweza kushuhudia kikosi kipya cha timu yao pendwa kikiingia uwanjani kabla ya msimu wa Ligi Kuu Tanzania kuanza Agosti 18, 2024. H

apa tumekuletea ratiba kamili ya michezo yote atakayo shiriki Yanga SC katika ziara yao ya Afrika Kusini ambapo watacheza michezo ya Kombe la Toyota Cup na Mpumalanga Premier International Cup 2024.

Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025

Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025

Young Africans Sports Club (Yanga SC) wameondoka nchini Julai 18, 2024, kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kuanza maandalizi ya msimu mpya. Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kucheza michezo kadhaa ya kirafiki na michuano mbalimbali ili kuimarisha timu kabla ya msimu wa ligi kuu Tanzania (NBC Premier league) kuanza rasmi.

Ratiba ya Michezo ya Yanga SC Afrika Kusini

  • Julai 20, 2024: Yanga SC vs FC Augsburg (Ligi Kuu ya Ujerumani) – Mechi ya Mpumalanga Premier International Cup
  • Julai 28, 2024: Yanga SC vs Kaizer Chiefs – Mechi ya Toyota Cup kwa mwaliko wa Kaizer Chiefs.
  • Agosti 4, 2024: Wiki ya Mwananchi – Maandalizi maalum kwa ajili ya mashabiki wa Yanga SC.
  • Agosti 8, 2024: Yanga SC vs Simba SC – Ngao ya Jamii.
  • Agosti 16, 2024: Yanga SC vs Vital’O FC (Burundi) – Mechi ya kirafiki.
  • Agosti 23, 2024: Yanga SC vs Vital’O FC – Mechi ya kirafiki.

Ratiba ya Yanga mwezi October 2024

Tarehe Nyumbani Mda Ugenini
3/10/2024 Young Africans 18:30 Pamba Jiji
19/10/24 Simba 17:00 Young Africans
22/10/24 Young Africans 19:00 JKT Tanzania
Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025 October
Ratiba ya Mechi Zijazo za Yanga 2024/2025 Mwezi wa October

Soma Zaidi

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Rekodi za Simba na Yanga Kufungana
  2. Kalenda ya Matukio Msimu wa 2024-2025
  3. Wafungaji Bora CECAFA Dar Port Kagame Cup 2024
  4. Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024
  5. Jezi Mpya za Simba 2024/25
  6. Timu Zinazoshiriki Mpumalanga Premier International Cup 2024
  7. Ratiba ya Mpumalanga Premier international Cup 2024
  8. Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025 (NBC Premier league)
  9. Jemedari Said Kazumari Atangazwa kua CEO Mpya JKT Tanzania
  10. Inonga Baka Atambulishwa Klabu ya AS FAR Rabat Morocco
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo