Kikosi cha Kinondoni Municipal Council F.C 2024/2025 (Wachezaji wa KMC) | Namba za Wachezaji wa KMC
Kinondoni Municipal Council Football Club almaharufu kama KMC FC ni moja ya timu zinazowakilisha kwa umahiri mkubwa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania. Timu hii imeendelea kuonesha ubora wa hali ya juu tangu ilipojiunga na Ligi Kuu ya Tanzania mnamo mwaka 2018. Hapa Habariforum tumekuletea orodha ya wachezaji wa KMC kwa msimu wa 2024/2025.
Kikosi cha Kinondoni Municipal Council F.C 2024/2025 (Wachezaji wa KMC)
Kwa msimu wa 2024/2025, KMC FC imejipanga vyema kwa lengo la kushindana kwa ubora zaidi katika Ligi Kuu ya NBC. Timu hii inasimamiwa na kocha mwenye uzoefu, huku ikiwa na wachezaji wenye uwezo na vipaji vya hali ya juu ambao wanatarajiwa kuleta mchango mkubwa katika mafanikio ya klabu. Orodha ya wachezaji wanaounda kikosi cha KMC 2024/2025 ni kama ifuatavyo:
Nambari ya Mchezaji | Jina la Mchezaji |
1 | Fabien Mutombora |
3 | Hance Masoud |
5 | Juma Shemvuni |
9 | Ibrahim Elias |
11 | Rashid Chambo |
20 | Jean Nzeyimana |
21 | Pascal Mussa |
23 | Oscar Paulo |
27 | Salum Salum |
8 | Ken Ally |
32 | Abdalla Said |
28 | Fredy Tangalo |
24 | Deogratius Kulwa |
14 | Ali Shabani |
38 | Nickson Mosha |
26 | Junior Majid |
30 | Redemtus Mussa |
31 | Andrew Vicent |
33 | Wilbol Maseke |
0:00 | Hamis Omary |
48 | Shomary Rahimu |
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti