Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga
Licha ya kuibuka na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, timu ya wananchi Young Africans SC (Yanga SC) imeendelea kuonesha kiu na dhamira ya kutaka kurudia mafanikio hayo kwa kishindo msimu wa 2025/2026.
Uongozi wa klabu umefanya maboresho makubwa katika kikosi, wakisajili wachezaji wapya na kuimarisha nafasi muhimu ili kuhakikisha timu inabaki kwenye ubora wake wa ndani na kimataifa.
Msimu mpya wa Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano ya kimataifa unatarajiwa kuanza rasmi tarehe 17 Septemba 2025, na tayari mashabiki wa Yanga wana shauku kubwa kuona mastaa wao wapya na wa zamani wakipambana uwanjani.
Katika makala hii tumekuandalia orodha kamili ya Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga ikiwa na majina ya wachezaji wote waliopo kikosini, nafasi wanazocheza pamoja na mataifa wanayotokea.
Kikosi cha Yanga 2025/2026 | Wachezaji Wote wa Yanga
Jina la Mchezaji | Nafasi | Taifa |
Djigui Diarra | Kipa | Mali |
Khomeiny Abubakar | Kipa | Tanzania |
Abuutwalib Mshary | Kipa | Tanzania |
Ibrahim Hamad | Beki wa Kati | Tanzania |
Dickson Job | Beki wa Kati | Tanzania |
Bakari Mwamnyeto | Beki wa Kati | Tanzania |
Shaibu Mtita | Beki wa Kati | Tanzania |
Mohamed Hussein | Beki wa Kushoto | Tanzania |
Nickson Kibabage | Beki wa Kushoto | Tanzania |
David Bryson | Beki wa Kushoto | Tanzania |
Chadrack Boka | Beki wa Kushoto | DR Congo |
Kouassi Yao | Beki wa Kulia | Ivory Coast |
Israel Mwenda | Beki wa Kulia | Tanzania |
Issack Mtengwa | Beki wa Kulia | Tanzania |
Kibwana Shomari | Beki wa Kulia | Tanzania |
Moussa Balla Conté | Kiungo wa Ulinzi | Guinea |
Omary Mfaume Bibo | Kiungo wa Kati | Tanzania |
Aziz Andabwile | Kiungo wa Ulinzi | Tanzania |
Abdul Nasir Asaa Mohammed | Kiungo wa Kati | Tanzania |
Salum Abubakar “Sure Boy” | Kiungo wa Ulinzi | Tanzania |
Mudathir Yahya | Kiungo wa Kati | Tanzania |
Mohamed Doumbia | Kiungo wa Kati | Ivory Coast |
Jonas Mkude | Kiungo wa Kati | Tanzania |
Shekhani Khamis | Kiungo wa Kati | Tanzania |
Duke Abuya | Kiungo wa Kati | Kenya |
Clatous Chama | Kiungo Mshambuliaji | Zambia |
Lassine Kouma | Kiungo Mshambuliaji | Ivory Coast |
Denis Nkane | Kiungo Mshambuliaji | Cameroon |
Faridi Mussa | Winga wa Kushoto | Tanzania |
Celestine Ecua | Winga wa Kushoto | DR Congo |
Maxi Nzengeli | Winga wa Kushoto | DR Congo |
Edmund Godfrey John | Winga wa Kushoto | Tanzania |
Pacome Zouzoua | Winga wa Kulia | Ivory Coast |
Jonathan Ikanga Lombo | Winga wa Kulia | DR Congo |
Offen Chikola | Winga wa Kulia | Zambia |
Prince Dube | Mshambuliaji wa Kati | Zimbabwe |
Andy Boyeli | Mshambuliaji wa Kati | DR Congo |
Jean Baleke | Mshambuliaji wa Kati | DR Congo |
Clement Mzize | Mshambuliaji wa Kati | Tanzania |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Ratiba ya Mechi za Yanga Ligi Kuu ya NBC 2025/2026
- Ratiba ya Timu ya Taifa ya Tanzania ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026
- Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
- Simba yamtambulisha Wilson Nangu
- Bayer Leverkusen Yamtimua Ten Hag Baada ya Mechi Tatu Tu
- Hizi Apa Picha za Jezi mpya za Simba 2025/2026
- Tarehe za Mechi za Simba VS Yanga 2025/2026: Ratiba ya Dabi ya Kariakoo
Leave a Reply