Matokeo ya Safari Champions vs Yanga Sc Leo 29 June 2024 | Matokeo Mechi Ya Kirafiki Yanga Vs Safari Champions
Klabu ya Yanga SC leo itakutana na Safari Champions katika mchezo wa kirafiki ambao unatarajiwa kuchezeka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 02:15 usiku. Mchezo huu ndio mchezo utakao fungua pazia rasmi la Yanga SC katika kuelekea msimu wa 2024/2025 wakati wakiwa wameweza kujinyakulia vikombe viwili, ligi kuu ya NBC 2023/24 na Kombe la Shirikisho. Mchezo huu ni muhimu kwa Yanga SC kwani utawapa nafasi ya kupima nguvu na kujiandaa vyema kwa changamoto za msimu ujao.
Matokeo ya Safari Champions vs Yanga Sc Leo 29 June 2024
π #SafariCup
β½οΈ Safari ChampionsπYoung Africans SC
π 29.06.2024
π Benjamin Mkapa
π 02:15Usiku
Safari Champions | 1-4 | Young Africans SC |
π πππ ππππβ±οΈ
β½οΈ Omary Mfaume
β½οΈ Shekhan
β½οΈ Prosper
β½οΈ Hussein
Mapendekezo Ya Mhariri:
- Kikosi Cha Yanga 2024/2025 | Wachezaji Wote Wa Yanga
- FIFA Yaiondolea Yanga Adhabu ya Kufungiwa Kusajili
- Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Yanga 2024/2025
- Tetesi za Usajili Yanga: Okrah Kwenye Rada za Kuondoka Yanga? Habari Kamili
- Mishahara ya Wachezaji wa Yanga sc 2024
- Yanga Yafanikiwa Kutetea Ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB 2024
- Picha Za Parade ya Yanga SC Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24
- Yanga SC Kusherehekea Ubingwa wa Ligi kwa Parade Kubwa Mei 25
- Ni Yanga Vs Azam Fainali Ya Kombe La Shirikisho (CRDB Federation Cup)
- Idadi ya Makombe Ya Yanga Ligi Kuu Tanzania
Weka Komenti