Mbeya City vs Yanga sc Leo 30/09/2025 Saa Ngapi?
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga SC, leo 30 Septemba 2025 wanatarajiwa kushuka dimbani kwa mara ya pili msimu huu, wakiwa wageni wa Mbeya City katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Huu ni mchezo ambao umekuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, hasa ikizingatiwa historia ya mechi hizi mbili inapokuwa Sokoine.
Mbeya City vs Yanga SC Leo Saa Ngapi?
Kwa mujibu wa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, mchezo wa Mbeya City vs Yanga SC utapigwa saa 10:15 jioni katika uwanja wa Sokoine, Mbeya. Saa hii ni muhimu kwa mashabiki wote wanaotaka kushuhudia mpambano huu wa kipekee kati ya The Purple Nation (Mbeya City) dhidi ya Wananchi (Yanga SC).
Mapendekezo ya Mhariri:
- Arsenal yapata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United
- Wapinzani wa Simba Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika CAF
- Azam FC Yafuzu Raundi ya Pili CAFCC Baada ya Ushindi wa 4-0 Dhidi ya El Merriekh
- Ratiba ya Mechi za Leo 28/09/2025
- Singida Black Stars Yatinga Raundi Ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika
- Real Madrid Yapoteza 2-5 Dhidi ya Atletico Madrid, Kichapo cha Kwanza kwa Xabi Alonso LaLiga
- Haaland Sasa ni Miongoni mwa Wafungaji Bora 10 wa Muda Wote Man City
- Yanga Yatinga Raundi ya Pili CAF Champions League Baada ya Ushindi wa 2-0
- KMKM Yatinga Raundi ya Pili ya CAF Baada ya Kuichapa AS Port ya Djibouti
Leave a Reply