Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2024/2025
Ligi Kuu NBC Tanzania 2024/2025 inaendelea kwa kasi, Mashabiki wa soka wakishuhudia ushindani mkubwa kati ya vilabu vyenye historia na vile ambavyo vinataka kujidhihirisha kwenye medani ya soka nchini Tanzania. Katika msimu huu, mashabiki wa soka wanapata burudani ya aina yake, huku kila timu ikijitahidi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji la ubingwa. Hapa, tutakuletea msimamo wa ligi kila hatua inapopigwa, tukizingatia matokeo ya mechi, idadi ya pointi, na mabao ya kufunga na kufungwa.
Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa zaidi, huku timu zikifanya usajili wa nguvu na kujiandaa kwa ajili ya kuwania taji la ubingwa. Je, Yanga SC wataweza kutetea ubingwa wao?
Azam FC na Simba SC zitaweza kuwashusha Yanga kutoka kileleni? Je, tutashuhudia timu zingine zikiibuka na kuwa miongoni mwa washindani wakuu? Maswali haya na mengine mengi yatajibiwa kadri msimu huu utakavyokuwa ukiendelea.
Mashabiki wa soka Tanzania wana kila sababu ya kutazamia msimu uliojaa msisimko, ushindani mkali, na mshangao mwingi. Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 inaahidi kuwa msimu ambao hautakumbukwa tu kwa matokeo yake, bali pia kwa ubora wa soka litakalochezwa.
Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2024/2025 | Msimamo Ligi Kuu Bara
Pos |
Timu | P | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
1 | Singida BS | 6 | 5 | 1 | 0 | 9 | 3 | 6 | 16 |
2 | Simba | 5 | 4 | 1 | 0 | 12 | 2 | 10 | 13 |
3 | Fountain Gate | 7 | 4 | 1 | 2 | 14 | 12 | 2 | 13 |
4 | Young Africans | 4 | 4 | 0 | 0 | 8 | 0 | 8 | 12 |
5 | Azam | 7 | 3 | 3 | 1 | 6 | 2 | 4 | 12 |
6 | Dodoma Jiji | 7 | 2 | 3 | 2 | 5 | 4 | 1 | 9 |
7 | Mashujaa | 6 | 2 | 3 | 1 | 4 | 3 | 1 | 9 |
8 | KMC | 7 | 2 | 2 | 3 | 4 | 8 | -4 | 8 |
9 | Tabora UTD | 7 | 2 | 2 | 3 | 5 | 10 | -5 | 8 |
10 | JKT Tanzania | 6 | 1 | 4 | 1 | 3 | 3 | 0 | 7 |
11 | Tanzania Prisons | 6 | 1 | 4 | 1 | 3 | 3 | 0 | 7 |
12 | Namungo | 6 | 2 | 0 | 4 | 4 | 6 | -2 | 6 |
13 | Coastal Union | 7 | 1 | 2 | 4 | 6 | 9 | -3 | 5 |
14 | Kagera Sugar | 7 | 1 | 1 | 5 | 3 | 8 | -5 | 4 |
15 | KenGold | 7 | 1 | 1 | 5 | 4 | 10 | -6 | 4 |
16 | Pamba Jiji | 7 | 0 | 4 | 3 | 2 | 9 | -7 | 4 |
- MP- Michezo Iliyochezwa (Match Played)
- W- Ushindi (Winsi)
- D- Sare (Draw)
- L-Kufungwa (Lose)
- GF- Magoli Ambayo Timu Imefunga (Goal For)
- GA- Magoli Ambayo Timu Imefungwa (Goals Against)
- GD- Tofauti Ya Magoli (Goal Difference)
- PTS- Jumla Ya Alama (Points)
Mapendekezo Ya Mhariri:
Simba bigwa
Simba yetu