Orodha ya Wachezaji Wazawa Yanga Sc 2025/2026
Timu ya Wananchi, Yanga SC, imeendelea kutambulisha rasmi kikosi chake kwa ajili ya msimu mpya wa 2025/2026, huku ikionesha dhamira ya kuimarisha safu ya wachezaji wa ndani (wazawa) kwa kiwango cha juu. Katika harakati za kuhakikisha inaendelea kuwa miongoni mwa klabu bora barani Afrika, Yanga SC imeweka mkazo katika kuwatunza nyota wa Kitanzania waliothibitisha ubora wao, huku pia ikiwapa nafasi chipukizi wenye uwezo mkubwa wa kukuza vipaji vya ndani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya klabu, ifuatayo ni orodha ya wachezaji wazawa Yanga SC 2025/2026, waliothibitishwa rasmi kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya wananchi msimu wa 2025/2026:
Wachezaji Wazawa Yanga SC 2025/2026
- Abutwalib Hamad Mshery
- Khomonei Abubakar
- Kibwana Shomari
- Israh Mwenda
- Nickson Clement Kibabage
- Mohammed Hussein
- Ibrahim Bacca
- Bakari “Nondo” Mwamnyeto
- Dickson Job
- Aziz Andabwile
- Farid Mussa
- Offen Chikola
- Denis Nkane
- Mudathir Yahya
- Clement Mzize
- Salum Abubakari “Sure Boy”
- Abdulnassir Mohammed
- Abubakar Nizar Othuman “Ninju”
- Shekhan Hamis
Mapendekezo ya Mhariri:
Leave a Reply