Ratiba ya kombe la FA Zanzibar 2025/2026

Ratiba ya kombe la FA Zanzibar 2025/2026

Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limetangza Ratiba ya Kombe la FA Zanzibar 2025/2026 ikionesha pazia lamichuano hio kufunguliwa kwa mfululizo wa michezo ya raundi ya kwanza ya hatua ya mtoano kwa upande wa Unguja. Ratiba hiyo imepangwa kuanza Jumatatu, 1 Desemba 2025, na kuendelea hadi Ijumaa, 5 Desemba 2025, katika viwanja mbalimbali vya Mao A, Mao B, Kinyasini na Kichaka Nyuki. Kwa mujibu wa ratiba hiyo, kila siku kutapigwa michezo miwili hadi minne, hatua inayotoa nafasi kwa timu za ngazi tofauti kupambania kufuzu hatua inayofuata ya michuano ya Kombe la FA Zanzibar 2025/2026.

Ratiba ya FA Cup Zanzibar 2025/2026 – Raundi ya Kwanza Unguja

Jumatatu, 1 Desemba 2025

  • Sebleni Utd vs Kwerekwe FC – 13:30 (Mao A)
  • Strong Fire vs Pete Star – 14:00 (Mao B)
  • Taifa ya J’mbe vs Magomeni City – 16:00 (Mao B)
  • ZAFSA vs New Power – 16:00 (Kichaka Nyuki)

Jumanne, 2 Desemba 2025

  • Inter ZNZ vs Mawimbini Star – 14:00 (Mao A)
  • Paje Star vs Carpenter – 16:00 (Mao A)
  • Mwakaje Star vs Mbiji Star – 14:00 (Mao B)
  • Kikungwi Star vs Jobless – 16:00 (Mao B)
  • Cairo Utd vs M/Makumbi Utd – 16:00 (Kinyasini)

Jumatano, 3 Desemba 2025

  • Raskazone vs Mapinduzi – 16:00 (Kichaka Nyuki)
  • Muungano RNG vs Good Hope – 13:30 (Mao A)
  • BZL vs Maungani – 13:30 (Mao B)
  • Urafiki FC vs New Star – 16:00 (Kinyasini)
  • New City vs Vilima Vivil – 16:00 (Kichaka Nyuki)

Alhamisi, 4 Desemba 2025

  • Ujamaa FC vs Mpendae Utd – 16:00 (Kinyasini)
  • Negro Utd vs Kitope Utd – 13:30 (Mao B)

Ijumaa, 5 Desemba 2025

  • Bweleo vs Kipandoni Utd – 13:30 (Mao A)
  • Sharp Boys vs Kinuni Star – 16:00 (Mao A)
  • Black Sailors vs Mgambo City – 14:00 (Mao B)
  • Kundemba vs Simba wa Nyika – 16:00 (Mao B)

Ratiba ya kombe la FA Zanzibar 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. TFF Yatangaza Kuahirishwa kwa Tuzo za Msimu 2024/2025
  2. Timu Tatu za Tanzania Zashindwa Kung’ara Katika Michezo ya Kwanza ya Makundi CAF
  3. Msimamo wa Makundi Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
  4. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
  5. Matokeo ya Simba vs Petro De Luanda leo 23/11/2025
  6. Wachezaji Wanaowania Tuzo za TFF 2024/2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo