Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 EPL | Ratiba LIGI kuu ya Uingereza Imetangazwa Rasmi
LIGI kuu England imetangaza ratiba ya mechi zote 380 za msimu mpya wa 2024/2025 huku Mabingwa watetezi, Manchester City wataanza utetezi wa kombe la Ligi hiyo dhidi ya Chelsea katika dimba la Stamford Bridge siku ya Jumapili Agosti 18, 2024.
Mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Ligi itaikutanisha Manchester United dhidi ya Fulham katika dimba la Old Trafford siku ya Ijumaa Agosti 16, 2024 huku Liverpool ikikutanishwa na Ipswich Town iliyopanda daraja siku moja baadaye.
Washika Mitutu, Arsenal wataanza msimu dhidi ya Wolverhampton huku vigogo wa London, Tottenham Hotspur wakianza dhidi ya Leicester City iliyopanda daraja.
Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025 EPL
Ligi Kuu ya England (EPL) itaanza rasmi Ijumaa, tarehe 16 Agosti 2024, kwa mchezo kati ya Manchester United na Fulham. Mabingwa watetezi Manchester City wataanza safari yao ya kutetea ubingwa ugenini dhidi ya Chelsea tarehe 18 Agosti.
Ijumaa 16 Agosti 2024
20:00 Man Utd v Fulham (Sky Sports)
Jumamosi 17 Agosti 2024
12:30 Ipswich Town v Liverpool (TNT Sports)
Arsenal v Wolves
Everton v Brighton
Newcastle United v Southampton
Nottingham Forest v AFC Bournemouth
17:30 West Ham v Aston Villa (Sky Sports)
Jumapili 18 Agosti 2024
14:00 Brentford v Crystal Palace (Sky Sports)
16:30 Chelsea v Man City (Sky Sports)
Jumatatu 19 Agosti 2024
20:00 Leicester City v Spurs (Sky Sports)
Jumamosi 24 Agosti 2024 (MW2)
- AFC Bournemouth v Newcastle United
- Aston Villa v Arsenal
- Brighton v Man Utd
- Crystal Palace v West Ham
- Fulham v Leicester City
- Liverpool v Brentford
- Man City v Ipswich Town
- Southampton v Nottingham Forest
- Spurs v Everton
- Wolves v Chelsea
Jumamosi 31 Agosti 2024 (MW3)
- Arsenal v Brighton
- Brentford v Southampton
- Chelsea v Crystal Palace
- Everton v AFC Bournemouth
- Ipswich Town v Fulham
- Leicester City v Aston Villa
- Man Utd v Liverpool
- Newcastle United v Spurs
- Nottingham Forest v Wolves
- West Ham v Man City
Jumamosi 14 Septemba 2024 (MW4)
- AFC Bournemouth v Chelsea
- Aston Villa v Everton
- Brighton v Ipswich Town
- Crystal Palace v Leicester City
- Fulham v West Ham
- Liverpool v Nottingham Forest
- Man City v Brentford
- Southampton v Man Utd
- Spurs v Arsenal
- Wolves v Newcastle United
Jumamosi 21 Septemba 2024 (MW5)
- Aston Villa v Wolves
- Brighton v Nottingham Forest
- Crystal Palace v Man Utd
- Fulham v Newcastle United
- Leicester City v Everton
- Liverpool v AFC Bournemouth
- Man City v Arsenal
- Southampton v Ipswich Town
- Spurs v Brentford
- West Ham v Chelsea
Jumamosi 28 Septemba 2024 (MW6)
- AFC Bournemouth v Southampton
- Arsenal v Leicester City
- Brentford v West Ham
- Chelsea v Brighton
- Everton v Crystal Palace
- Ipswich Town v Aston Villa
- Man Utd v Spurs
- Newcastle United v Man City
- Nottingham Forest v Fulham
- Wolves v Liverpool
Jumamosi 5 Oktoba 2024 (MW7)
- Arsenal v Southampton
- Aston Villa v Man Utd
- Brentford v Wolves
- Brighton v Spurs
- Chelsea v Nottingham Forest
- Crystal Palace v Liverpool
- Everton v Newcastle United
- Leicester City v AFC Bournemouth
- Man City v Fulham
- West Ham v Ipswich Town
Jumamosi 19 Oktoba 2024 (MW8)
- AFC Bournemouth v Arsenal
- Fulham v Aston Villa
- Ipswich Town v Everton
- Liverpool v Chelsea
- Man Utd v Brentford
- Newcastle United v Brighton
- Nottingham Forest v Crystal Palace
- Southampton v Leicester City
- Spurs v West Ham
- Wolves v Man City
Jumamosi 26 Oktoba 2024 (MW9)
- Arsenal v Liverpool
- Aston Villa v AFC Bournemouth
- Brentford v Ipswich Town
- Brighton v Wolves
- Chelsea v Newcastle United
- Crystal Palace v Spurs
- Everton v Fulham
- Leicester City v Nottingham Forest
- Man City v Southampton
- West Ham v Man Utd
Jumamosi 2 Novemba 2024 (MW10)
- AFC Bournemouth v Man City
- Fulham v Brentford
- Ipswich Town v Leicester City
- Liverpool v Brighton
- Man Utd v Chelsea
- Newcastle United v Arsenal
- Nottingham Forest v West Ham
- Southampton v Everton
- Spurs v Aston Villa
- Wolves v Crystal Palace
Jumamosi 9 Novemba 2024 (MW11)
- Brentford v AFC Bournemouth
- Brighton v Man City
- Chelsea v Arsenal
- Crystal Palace v Fulham
- Liverpool v Aston Villa
- Man Utd v Leicester City
- Nottingham Forest v Newcastle United
- Spurs v Ipswich Town
- West Ham v Everton
- Wolves v Southampton
Jumamosi 23 Novemba 2024 (MW12)
- AFC Bournemouth v Brighton
- Arsenal v Nottingham Forest
- Aston Villa v Crystal Palace
- Everton v Brentford
- Fulham v Wolves
- Ipswich Town v Man Utd
- Leicester City v Chelsea
- Man City v Spurs
- Newcastle United v West Ham
- Southampton v Liverpool
Jumamosi 30 November 2024 (MW13)
- Brentford v Leicester City
- Brighton v Southampton
- Chelsea v Aston Villa
- Crystal Palace v Newcastle United
- Liverpool v Man City
- Man Utd v Everton
- Nottingham Forest v Ipswich Town
- Spurs v Fulham
- West Ham v Arsenal
- Wolves v AFC Bournemouth
Editor’s Picks:
- Wachezaji walioachwa na Simba 2024/2025
- Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2024/2025
- Magoli ya Stephan Aziz NBC 2023/2024: Orodha Kamili ya Timu Alizozifunga
- Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Yanga 2024/2025
- Simba Imetangaza Kuachana na Shaban Chilunda
- Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025
- Wachezaji Wanaolipwa Pesa Nyingi Simba 2024
Weka Komenti