Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo 22/03/2026

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo 22/03/2026

Baada ya Yanga kushindwa kutamba mbele ya Mtibwa Sugar jana, leo macho ya mashabiki wa Ligi Kuu NBC yanaelekezwa kwenye pambano jingine muhimu litakalochezwa usiku huu. Mchezo huu unatarajiwa kuwa kivutio kikubwa kwa wapenzi wa soka, hasa ukizingatia ushindani uliopo katika msimamo wa ligi pamoja na presha ya matokeo kwa timu husika.

Katika mwendelezo wa Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo 22/03/2026, klabu ya Simba SC itashuka dimbani kusaka alama tatu muhimu mbele ya wapinzani wao TRA United.

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo

Simba SC vs TRA United

Saa 1:00 usiku
📍 Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo

Ratiba ya Ligi Kuu NBC Leo 22/03/2026

Mchezo huu unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa huku Simba SC wakishuka dimbani wakiwa na lengo la kuendelea kukusanya pointi muhimu katika mbio za ligi. Kwa upande wao, TRA United watakuwa na jukumu la kujaribu kusimamisha kasi ya wapinzani wao.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
  2. Matokeo ya Mtibwa Sugar vs Yanga Leo 21/03/2026
  3. Guinea Yadai Kombe Baada ya Morocco Kujiondoa Uwanjani 1976
  4. Hussein Katanga na Ally Mnyupe Wafungiwa Kwa Makosa ya Uamuzi wa Penalti
  5. Senegal Yapokonywa Ubingwa wa AFCON 2025 Baada ya CAF Kubadili Matokeo ya Fainali
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo