Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 10/02/2026

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 10/02/2026

NBC Premier League leo Jumanne tareh 10 Februari 2026

Saa 8:00 mchana, Tanzania Prisons watakuwa nyumbani uwanja wa Sokoine wakiwakaribisha Coastal Union.

Saa 10:15 jioni, Pamba Jiji watakuwa nyumbani CCM Kirumba wakicheza na Namungo FC.

Michezo hii kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 10/02/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Adidas Yazindua Mpira wa Fainali ya UEFA 2026 Itakayochezwa Budapest
  2. Man City Yapindua Meza Kibabe Ikiicharaza Liverpool Nyumbani
  3. Azam Yaandika Historia Mpya CAF Baada ya Kuvunja Rekodi ya Simba
  4. Droo ya Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la CRDB Kufanyika Februari 09
  5. Hatma ya Vilabu vya Tanzania Kuelekea Robo Fainali CAF 2025/2026 Baada ya Mechi za Raundi ya Nne
  6. Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo