Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026

Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026

Msimu wa 2025/2026 wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ umeanza rasmi mnamo Septemba 25, 2025, ukiashiria mwanzo wa safari nyingine ya kandanda yenye ushindani mkubwa Visiwani. Ligi hii, inayojulikana kama mashindano makuu ya soka Zanzibar, inajumuisha timu maarufu zenye historia ndefu na mashabiki wengi. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa, mashindano ya msimu huu yanatarajiwa kuchezwa katika viwanja vikuu ikiwemo Mao A, Mao B na Gombani, huku kila mchezo ukipewa muda wa kuanza saa 10:15 jioni.

Mashabiki wa soka wanatarajiwa kufurahia burudani na ushindani wa hali ya juu kuanzia raundi ya kwanza, ambapo kila klabu itapigania pointi muhimu za mwanzo. Ratiba kamili ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026 imepangwa kwa umakini ili kuhakikisha kila mchezo unapata nafasi ya kuwapa mashabiki ladha ya kipekee ya soka la Visiwani.

Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026 – Round 1

Tarehe Timu ya Nyumbani Timu ya Ugenini Saa Uwanja
Septemba 25, 2025 Polisi Uhamiaji 16:15 Mao A
Septemba 26, 2025 Jang’ombe Zimamoto 16:15 Gombani
Septemba 27, 2025 Chipukizi Malindi 16:15 Gombani
Septemba 29, 2025 Muembe Makumbi New King 16:15 Mao A
Oktoba 1, 2025 JKU KVZ 16:15 Mao A
Oktoba 2, 2025 Mafunzo New Stone Town 16:15 Mao A
Oktoba 2, 2025 Kipanga FFC 16:15 Mao B
Oktoba 3, 2025 KMKM Mlandege 16:15 Mao A

Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026 – Round 2

Tarehe Timu ya Nyumbani Timu ya Ugenini Saa Uwanja
Septemba 30, 2025 Chipukizi Zimamoto 16:15 Gombani
Oktoba 1, 2025 Jang’ombe Malindi 16:15 Gombani
Oktoba 4, 2025 Uhamiaji Muembe Makumbi 16:15 Mao A
Oktoba 5, 2025 Mafunzo FFC 16:15 Mao A
Oktoba 5, 2025 Kipanga New Stone Town 16:15 Mao B
Oktoba 6, 2025 New King Polisi 16:15 Mao A
Oktoba 7, 2025 KVZ KMKM 16:15 Mao A
Oktoba 9, 2025 Mlandege JKU 16:15 Mao A

Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026 – Round 3

Tarehe Timu ya Nyumbani Timu ya Ugenini Saa Uwanja
Oktoba 8, 2025 Zimamoto New Stone Town 16:15 Mao B
Oktoba 8, 2025 Malindi FFC 16:15 Mao A
Oktoba 10, 2025 KMKM Kipanga 16:15 Mao A
Oktoba 10, 2025 Mafunzo Uhamiaji 16:15 Mao A
Oktoba 11, 2025 Jang’ombe KVZ 16:15 Gombani
Oktoba 12, 2025 Chipukizi New King 16:15 Gombani
Oktoba 13, 2025 Polisi Mlandege 16:15 Mao A
Oktoba 13, 2025 JKU Muembe Makumbi 16:15 Mao A

Ratiba ya Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
  2. Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025
  3. Yanga Sc Yalazimishwa Sare Ya 0-0 Na Mbeya City
  4. Matokeo ya Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025
  5. Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  6. Arsenal yapata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United
  7. Wapinzani wa Simba Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika CAF
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo