Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026 | CAF Champions League Fixture

Pazia la mashindano ya Klabu Bingwa Afrika msimu wa 2025/2026 limefunguliwa rasmi Jumamosi jijini Dar es Salaam, Tanzania, kufuatia droo ya hatua ya awali na hatua ya pili ya awali ya michuano hiyo iliyofanyika katika studio za Azam Media. Mashindano haya, yanayojulikana kama CAF Champions League, yanajumuisha vilabu 62 kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, idadi ambayo ni rekodi mpya katika historia ya michuano hiyo, ishara ya kuongezeka kwa mvuto na ushindani wake barani Afrika.

Mabingwa wa kihistoria Al Ahly (Misri) na Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini) wamepewa nafasi ya moja kwa moja kuanzia hatua ya pili ya awali, wakifuatana na mabingwa watetezi Pyramids FC (Misri) ambao watakutana na APR ya Rwanda.

Mechi Tarehe
Mzunguko wa Kwanza
Mogadishu City vs Police 19 Sept 2025
AS-FAN vs ES Tunis 19 Sept 2025
Elgeco Plus vs Silver Strikers 19 Sept 2025
Real Banjul vs AS FAR 19 Sept 2025
Al-Merrikh vs Rahimo 19 Sept 2025
Mangasport vs Dadjè 19 Sept 2025
Fassell vs MC Alger 19 Sept 2025
African Stars vs Vipers 19 Sept 2025
Jamus vs Al-Hilal 19 Sept 2025
Fundación Bata vs Nouadhibou 19 Sept 2025
Bibiani Gold Stars vs JS Kabylie 19 Sept 2025
Côte d’Or vs Stade d’Abidjan 19 Sept 2025
Lioli vs Orlando Pirates 19 Sept 2025
Gaborone United vs Simba 19 Sept 2025
Simba Bhora vs Nsingizini Hotspurs 19 Sept 2025
Rivers Utd vs Ethiopian Insurance 19 Sept 2025
Mlandege vs AC Léopards 19 Sept 2025
Black Bulls vs Aigle Noir 19 Sept 2025
Ali Sabieh vs Power Dynamos 19 Sept 2025
ASEC vs East End Lions 19 Sept 2025
Monastir vs Kara 19 Sept 2025
RSB Berkane vs APR 19 Sept 2025
Pyramids vs Tempête Mocaf 19 Sept 2025
Stade Malien vs Cercle de Joachim 19 Sept 2025
Petro de Luanda vs Wiliete 19 Sept 2025
Young Africans vs Colombe 19 Sept 2025
Jaraaf vs Horoya 19 Sept 2025
Remo Stars vs Zilimadjou 19 Sept 2025
Mzunguko wa Pili
Vipers vs African Stars 26 Sept 2025
Ali Sabieh vs Aigle Noir 26 Sept 2025
RSB Berkane vs Petro de Luanda 26 Sept 2025
Kara vs Cercle de Joachim 26 Sept 2025
Silver Strikers vs Elgeco Plus 26 Sept 2025
Mangasport vs Rahimo 26 Sept 2025
ES Tunis vs AS-FAN 26 Sept 2025
Zilimadjou vs Remo Stars 26 Sept 2025
Black Bulls vs AC Léopards 26 Sept 2025
Al-Merrikh vs TBD 26 Sept 2025
Mlandege vs Ethiopian Insurance 26 Sept 2025
ASEC vs Power Dynamos 26 Sept 2025
JS Kabylie vs Bibiani Gold Stars 26 Sept 2025
Rivers Utd vs TBD 26 Sept 2025
Stade Malien vs Tempête Mocaf 26 Sept 2025
Police vs Mogadishu City 26 Sept 2025
Pyramids vs APR 26 Sept 2025
AS FAR vs Real Banjul 26 Sept 2025
Al-Hilal vs Jamus 26 Sept 2025
Dadjè vs TBD 26 Sept 2025
Jaraaf vs Colombe 26 Sept 2025
Young Africans vs Wiliete 26 Sept 2025
Nouadhibou vs Fundación Bata 26 Sept 2025
Orlando Pirates vs Lioli 26 Sept 2025
MC Alger vs Fassell 26 Sept 2025
Simba vs Gaborone United 26 Sept 2025
Stade d’Abidjan vs Côte d’Or 26 Sept 2025
Monastir vs East End Lions 26 Sept 2025
Horoya vs TBD 26 Sept 2025
Nsingizini Hotspurs vs Simba Bhora 26 Sept 2025

Ratiba ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/2026

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga Kucheza Mechi ya Kirafiki Dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda 15/08/2025
  2. Everton na Man City Wakubaliana Kuhusu Uhamisho wa Mkopo wa Grealish
  3. Wachezaji Wapya wa Yanga 2025/2026
  4. Vilabu Bora Afrika 2025 (CAF Club Ranking 2025)
  5. Timu zilizofuzu Robo Fainali CHAN 2024
  6. Ratiba ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 Hatua ya Awali
  7. Droo ya Kombe la Shirikisho CAF 2025/2026
  8. Droo ya Klabu Bingwa Afrika 2025/2026 CAF: Timu na Ratiba Ya Round ya Awali
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo