Contents
hide
Ratiba ya Mechi za Leo 28/09/2025
Burudani ya soka inaendelea leo katika viwanja mbalimbali duniani, huku macho na masikio ya mashabiki yakielekezwa kwenye michezo ya ligi na mashindano makubwa barani Afrika, Ulaya na kwingineko.
Leo Tarehe 28 Septemba 2025 ni siku muhimu yenye kalenda yenye ushindani mkali kuanzia michuano ya CAF Champions League na CAF Confederation Cup, hadi ligi kubwa barani Ulaya kama Premier League, LaLiga, Serie A, Ligue 1, na Bundesliga.
Kwa mashabiki wa Tanzania na Afrika Mashariki, macho yatakuwa zaidi kwenye vilabu vya nyumbani vinavyoshiriki michuano ya kimataifa, huku ligi za Ulaya zikitoa burudani ya wachezaji wakubwa dunian
Ratiba ya Mechi za CAF Champions League – 28/09/2025
- 16:00 Nsingizini Hotspurs (Eswatini) 🆚 Simba Bhora (Zimbabwe)
- 16:00 Police FC (Kenya) 🆚 Mogadishu City (Somalia)
- 16:00 Simba SC (Tanzania) 🆚 Gaborone United (Botswana)
- 17:30 Mangasport (Gabon) 🆚 Rahimo (Burkina Faso)
- 18:00 Rivers United (Nigeria) 🆚 Aigles du Congo (DR Congo)
- 19:00 Al-Hilal Omdurman (Sudan) 🆚 Jamus (South Sudan)
- 19:00 ASEC Mimosas (Ivory Coast) 🆚 Power Dynamos (Zambia)
- 19:00 Monastir (Tunisia) 🆚 East End Lions (Sierra Leone)
- 20:00 Jaraaf (Senegal) 🆚 Colombe (Cameroon)
- 21:00 Al Ahly Tripoli (Libya) 🆚 Dadje (Benin)
- 21:00 Kabylie (Algeria) 🆚 Bibiani Gold Stars (Ghana)
- 22:00 Nouadhibou (Mauritania) 🆚 Fundacion Bata (Equatorial Guinea)
Ratiba ya Mechi za CAF Confederation Cup – 28/09/2025
- 16:00 Simba (DRC) 🆚 Djabal (Comoros)
- 16:00 ZESCO United (Zambia) 🆚 FC Libreville (Gabon)
- 17:00 Azam FC (Tanzania) 🆚 El Merriekh Bentiu (South Sudan)
- 17:30 Otoho d’Oyo (Congo) 🆚 Primeiro de Agosto (Angola)
- 18:00 Gbohloe-Su (Togo) 🆚 USFA (Burkina Faso)
- 18:00 Kwara United (Nigeria) 🆚 Asante Kotoko (Ghana)
- 19:00 Al Akhdar (Libya) 🆚 Flambeau du Centre (Burundi)
- 19:00 Djoliba (Mali) 🆚 Abia Warriors (Nigeria)
Ratiba ya Mechi za Ligi Kuu Ulaya – 28/09/2025
Premier League – England
- 16:00 Aston Villa 🆚 Fulham
- 18:30 Newcastle United 🆚 Arsenal
Ligue 1 – France
- 16:00 Nice 🆚 Paris FC
- 18:15 Angers 🆚 Brest
- 18:15 Lille 🆚 Lyon
- 18:15 Metz 🆚 Le Havre
- 21:45 Rennes 🆚 Lens
Bundesliga – Germany
- 16:30 Freiburg 🆚 Hoffenheim
- 18:30 FC Koln 🆚 Stuttgart
- 20:30 Union Berlin 🆚 Hamburger SV
Serie A – Italy
- 13:30 Sassuolo 🆚 Udinese
- 16:00 AS Roma 🆚 Verona
- 16:00 Pisa 🆚 Fiorentina
- 19:00 Lecce 🆚 Bologna
- 21:45 AC Milan 🆚 Napoli
Eredivisie – Netherlands
- 13:15 Nijmegen 🆚 AZ Alkmaar
- 15:30 Groningen 🆚 Feyenoord
- 15:30 Utrecht 🆚 Heerenveen
- 17:45 Telstar 🆚 Go Ahead Eagles
LaLiga – Spain
- 15:00 Rayo Vallecano 🆚 Sevilla
- 17:15 Elche 🆚 Celta Vigo
- 19:30 Barcelona 🆚 Real Sociedad
- 22:00 Real Betis 🆚 Osasuna
Mapendekezo ya Mhariri:
- Singida Black Stars Yatinga Raundi Ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika
- Real Madrid Yapoteza 2-5 Dhidi ya Atletico Madrid, Kichapo cha Kwanza kwa Xabi Alonso LaLiga
- Haaland Sasa ni Miongoni mwa Wafungaji Bora 10 wa Muda Wote Man City
- Simba vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?
- Yanga Yatinga Raundi ya Pili CAF Champions League Baada ya Ushindi wa 2-0
- KMKM Yatinga Raundi ya Pili ya CAF Baada ya Kuichapa AS Port ya Djibouti
- Sergio Busquets Atangaza Kustaafu Soka Mwishoni Mwa Msimu Huu
Leave a Reply