Ratiba ya Mechi za Leo Septemba 02 2024 | Mechi zote za Leo Jumatatu 02 September 2024
Leo tarehe 02 Septemba 2024, mashabiki wa soka wanatarajia kushuhudia mechi kadhaa zinazotarajiwa kuchezwa katika viwanja mbalimbali duniani. Kwa wale wanaofuatilia ligi za ndani na za kimataifa bila kusahau wajasiliamali wa michezo ya kubashiri, leo ni siku muhimu kwani timu mbalimbali zitakuwa uwanjani kupigania ushindi. Hapa chini ni ratiba ya baadhi ya mechi zitakazochezwa leo:
Ratiba ya Mechi za Leo Septemba 02 2024
Ligi ya Sky Bet, Daraja la Pili (Uingereza)
- Salford City vs Milton Keynes Dons – Saa 20:00
Mechi za Kimataifa
- Uruguay 1-1 Guatemala (FT) – Tayari mchezo huu umekamilika kwa sare ya bao 1-1
Ligi ya Wanawake ya Ujerumani (Bundesliga)
- VfL Wolfsburg Women vs SV Werder Bremen Ladies – Saa 17:00
Ligi ya Taifa Kusini (Uingereza)
- Aveley vs Dorking Wanderers – Saa 19:45
- Boreham Wood vs Worthing – Saa 19:45
- Hemel Hempstead vs Welling United – Saa 19:45
Mapendekezo ya Mhariri:
- Azam FC Katika Mbio za Kumsajili Kocha Florent Ibenge wa Al-Hilal
- Mgunda Atajwa Kuchukua Mikoba ya Zahera Namungo
- Manuel Ugarte Apewa Jezi Namba 25 ya Man United, Jezi ya Zamani ya Jadon Sancho
- Vigogo KenGold Waeka Dau Kubwa kwa Kila Ushindi
- JKU FC Mabingwa Wa Ngao ya Jamii Zanzibar 2024
- Vilabu Bora Afrika 2024/2025 (CAF Club Ranking)
Weka Komenti