Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, limetangaza rasmi Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 kwa watahiniwa wa Mtihani wa Cheti cha Juu cha Elimu ya Sekondari (ACSEE).
Kwa mujibu wa ratiba hiyo, mitihani imepangwa kuanza tarehe 04 Mei 2026 na itahitimishwa tarehe 25 Mei 2026, ikihusisha mitihani ya nadharia pamoja na mitihani ya vitendo (practical).
Ratiba hii ni nyaraka muhimu kwa wanafunzi, walimu na wasimamizi wa mitihani, kwani inaeleza kwa kina siku, muda na masomo yote yatakayofanyiwa mtihani katika vipindi vya asubuhi na alasiri.
Muhtasari wa Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na NECTA, mitihani itafanyika kwa vipindi viwili vikuu:
- Kipindi cha Asubuhi (A.M.): Kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi 5:00 asubuhi kwa masomo mengi ya nadharia, na saa 4:00 asubuhi hadi 7:20 mchana au saa 4:00 asubuhi hadi 9:00 mchana kwa baadhi ya mitihani ya vitendo.
- Kipindi cha Alasiri (P.M.): Kuanzia saa 8:00 mchana hadi 11:00 jioni.
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 – Masomo ya Nadharia
Jumatatu – 04/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | General Studies |
| Alasiri | History 1, Chinese Language 1, Biology 1, Accountancy 1 |
Jumanne – 05/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Kiswahili 1, Physics 1, Agriculture 1, Commerce 1, Food and Human Nutrition 1 |
| Alasiri | Geography 1, Physical Education 1, French Language 1, Education |
Jumatano – 06/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Kiswahili 2, Basic Applied Mathematics, Advanced Mathematics 1 |
| Alasiri | English Language 1, Chemistry 1, Economics 1 |
Alhamisi – 07/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Geography 2, Agriculture 2, Accountancy 2, Food and Human Nutrition 2 |
| Alasiri | Fine Art 1, Chinese Language 2, Physics 2, Economics 2 |
Ijumaa – 08/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | History 2, Biology 2 |
| Alasiri | English Language 2, Chemistry 2, Commerce 2 |
Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2026 – Masomo ya Practical
Jumatatu – 11/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | French Language 2, Agriculture 3 (Practical), Advanced Mathematics 2, Food and Human Nutrition 3 (Practical) |
| Alasiri | Divinity 1, Islamic Knowledge 1 |
Jumanne – 12/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Fine Art 2 (Practical), Biology 3A (Practical) |
| Alasiri | Computer Science 1, Information and Computer Studies |
Jumatano – 13/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Chemistry 3A (Practical) |
| Alasiri | Arabic Language 1 |
Alhamisi – 14/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Physics 3A (Practical) |
| Alasiri | Divinity 2, Islamic Knowledge 2 |
Ijumaa – 15/05/2026
| Kipindi | Somo |
|---|---|
| Asubuhi | Computer Science 2 (Practical) |
| Alasiri | Arabic Language 2 |
Ratiba ya Practical – Makundi B na C
| Tarehe | Somo |
|---|---|
| 18/05/2026 | Biology 3B (Practical) |
| 19/05/2026 | Chemistry 3B (Practical) |
| 20/05/2026 | Physics 3B (Practical) |
| 21/05/2026 | Biology 3C (Practical) |
| 22/05/2026 | Physics 3C (Practical) |
| 25/05/2026 | Chemistry 3C (Practical) |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Kwanza 2026
- Form One Selection 2026 | Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2026
- Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025/2026 NECTA
- Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 (NECTA Form Four Results)
- Botswana PSLE Results 2025 Released: 52,766 Candidates Sit Examination as Pass Rate Reaches 99.91%
- Majina ya Wanafunzi na Shule Walizopangiwa Kidato cha Kwanza 2026









Leave a Reply