Viingilio Mechi ya Fountain Gate vs Simba 15/04/2026

Viingilio Mechi ya Fountain Gate vs Simba 15/04/2026

Viingilio Mechi ya Fountain Gate vs Simba 15/04/2026 vimetangazwa rasmi kwa mashabiki watakaohudhuria mchezo huo utakaochezwa tarehe 15 Aprili 2026 majira ya saa 10:00 jioni.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tiketi zimegawanywa katika makundi matatu. Kiingilio cha Mzunguko ni shilingi 10,000, wakati VIP A na B ni shilingi 20,000. Kwa upande wa VVIP, mashabiki watalipa shilingi 50,000.

Viingilio Mechi ya Fountain Gate vs Simba 15/04/2026

Viwango hivi vya Viingilio Mechi ya Fountain Gate vs Simba 15/04/2026 vinalenga kuwapa mashabiki chaguo la sehemu ya kukaa kulingana na uwezo wao.

Mashabiki wanashauriwa kujiandaa mapema ili kupata tiketi kwa bei zilizotangazwa kabla ya siku ya mchezo.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Droo ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho CRDB Bank Federation Cup 2025/2026
  2. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CRDB Federation Cup 2025/2026
  3. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo