Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024
Leo Alhamisi, tarehe 16 Agosti 2024, saa kumi kamili jioni, Pamba Jiji Itawakalibisha Tanzania prison katika mtanange wa ufunguzi wa ligi kuu ya NBC Tanzania msimu wa 2024/2025. Mchezo huu utatimua vumbi katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kama wewe ni miongoni mwa wapenzi wa soka ambao wanapenda kutazama mpira mzuri live moja kwa moja uwanjani basi hapa Habariforum tumekuletea taarifa zote kuhusu viingilio vya mchezo huu.
Hivi apa ndio Viingilio Mechi ya Pamba Jiji Vs Tanzania Prisons 16/08/2024
- VIP: Tsh 10,000
- Jukwaa Kuu: Tsh 5,000
- Mzunguko: Tsh 2,000
Mahali pa Kununua Tiketi
Tiketi zinapatikana katika maeneo yafuatayo:
- Ofisi kuu za Halmashauri ya Jiji Mwanza
- Ofisi za TTCL-Mwanza
- Uwanja wa CCM Kirumba (siku ya mechi)
- Kwenye Gari Ya Matango (siku ya mechi)
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti