Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025

Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wanatarajiwa kushuka dimbani kesho katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuwakabili Namungo FC kwenye mtanange wa Ligi Kuu ya NBC. Mechi hii kubwa itapigwa tarehe 01 Oktoba 2025 majira ya saa 2:15 usiku (20:15), ambapo mashabiki watapata burudani ya aina yake huku kila upande ukisaka pointi muhimu kwenye msimamo wa ligi.

Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025

Kwa mashabiki wanaotarajia kushuhudia pambano hili la kihistoria, viingilio vimetangazwa rasmi kama ifuatavyo:

  • Mzunguko: Tsh 5,000/=
  • VIP B: Tsh 10,000/=
  • VIP A: Tsh 20,000/=

Viingilio Mechi ya Simba vs Namungo FC 01/10/2025

Hii ni nafasi adhimu kwa mashabiki wa Simba SC na Namungo FC kufurika Mkapa Stadium kwa gharama nafuu na kushuhudia moja ya mechi kubwa za mwanzo wa msimu huu wa NBC Premier League.

Saa na Mahali

Mchezo utafanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam moja ya viwanja vikubwa na vya kisasa zaidi nchini, chenye uwezo wa kubeba maelfu ya mashabiki. Saa ya mpambano ni saa 2:15 usiku, muda unaoipa mechi ladha ya kipekee kwa mashabiki wa soka la usiku.

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Yanga vs Mbeya City Leo 30/09/2025
  2. Ratiba ya Mechi za Leo 30/09/2025 Ligi Kuu ya NBC
  3. Ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2025/2026
  4. Mbeya City vs Yanga sc Leo 30/09/2025 Saa Ngapi?
  5. Arsenal yapata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Newcastle United
  6. Wapinzani wa Simba Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika CAF
  7. Azam FC Yafuzu Raundi ya Pili CAFCC Baada ya Ushindi wa 4-0 Dhidi ya El Merriekh
  8. Simba vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?
  9. Singida Black Stars Yatinga Raundi Ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo