Viingilio Mechi ya Yanga VS Simba Ngao ya Jamii 2025
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza rasmi viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii 2025, utakaowakutanisha miamba miwili ya soka nchini, Young Africans SC (Yanga) na Simba SC, katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, leo Jumanne ya Septemba 16, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni. Mchezo huu ni wa ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na unatarajiwa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kutokana na ushindani wa jadi uliopo kati ya timu hizi mbili kongwe.
Viwango vya Viingilio Ngao ya Jamii 2025
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) mnamo Septemba 14, 2025, mashabiki wataingia uwanjani kwa viwango tofauti kulingana na eneo la kukaa. Kiingilio cha chini kabisa kitakuwa:
- Mzunguko: Tsh 5,000/=
- Orange: Tsh 15,000/=
- VIP C: Tsh 20,000/=
- VIP B: Tsh 30,000/=
- VIP A: Tsh 100,000/=
- Platinum: Tsh 300,000/=
Mapendekezo ya Mhariri:
- Matokeo ya Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
- Kikosi cha Simba Dhidi ya Yanga Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
- Kikosi cha Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ngao ya Jamii
- Yanga vs Simba Leo 16/09/2025 Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025 Saa Ngapi?
- Waamuzi Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025
- CAF Yaipiga Simba Faini ya Dola 50,000 na Marufuku ya Mashabiki
- Chama Aipa Singida Bs Ubingwa Wa CECAFA Kagame Cup 2025
- Bao la Dakika za Jioni Dhidi ya Burnley Lairudisha Liverpool kileleni EPL
Leave a Reply