Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa
Mabingwa watetezi wa ligi kuuu ya NBC Tanzania bara na wawakilishi pendwa wa Tanzania katika michuano ya mabingwa barani Afrika CAF Yanga Sc watakutana na Vital’o ya Burundi katika mchezo wa marudiano wa hatua za awali za mashindano ya klabu bingwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa Agosti 24 2024. Mchezo huu unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Tanzania na hapa habariforum tumewaletea orodha ya vituo vya kununua tiketi mechi ya yanga vs vitalo klabu bingwa kwa wote watakaotaka kuushuhudia mchezo huu moja kwa moja kutoka dimbani estadio de Benjamin Mkapa.
Hivi Apa Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Vitalo Klabu Bingwa
- Young Africans – Jangwani
- Vunja Bei – Dar Es Salaam Shops
- T-Money Ltd – Kigamboni
- Gitano Samweli – Mbagala Zakiem
- Khalfan Mohamed – Ilala
- Lampard Electronics
- Godwin Fredy – Geita
- Twisty Investment – Geita
- Gwambina Lounge – Gwambina
- Karoshy Pamba – Dar Live {Zakhiem}
- Antonio Service – Sinza, Kivukoni
- Tumpe Kamwela – Kigamboni
- Sovereign – Kinondoni Makaburini
- View Blue Skyline – Mikocheni
- Mkaluka Traders – Machinga Complex
- New Tech General Traders – Ubungo
- Sabana Business – Mbagala Maji Matitu
- Juma Burrah – Kivukoni
- Juma Burrah – Msimbazi
- Alphan Hinga – Ubungo
- Mtemba Service Co – Temeke
- Jackson Kimambo – Ubungo
- Shirima Shop – Leaders
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti