Waamuzi Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025
Waamuzi Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025
Ahmed Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati katika Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025, pambano linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini Tanzania. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, Jumanne, Septemba 16, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limethibitisha rasmi kikosi cha waamuzi kitakachosimamia mchezo huo wa kisasi, ambao mara nyingi huashiria mwanzo wa msimu mpya wa soka nchini.
Kikosi cha Waamuzi Mechi ya Yanga vs Simba Fainali Ya Ngao ya Jamii 2025
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na TFF, majina ya waamuzi walioteuliwa kwa ajili ya mchezo huu ni kama ifuatavyo:
- Mwamuzi wa Kati: Ahmed Arajiga
- Mwamuzi Msaidizi 1: Mohamed Mkono
- Mwamuzi Msaidizi 2: Kassim Mpanga
- Mwamuzi wa Akiba: Ramadhan Kayoko
- Mtathmini wa Waamuzi: Soud Abdi
Kikosi hiki kimepewa jukumu kubwa la kuhakikisha mchezo unachezwa kwa kufuata sheria zote za mpira wa miguu, bila upendeleo, na kwa viwango vya juu vya kitaalamu.
Mapendekezo ya Mhariri:
- Bao la Dakika za Jioni Dhidi ya Burnley Lairudisha Liverpool kileleni EPL
- Man City Yaibuka na Ushindi wa 3-0 Dhidi ya Manchester United
- Kelvin John Aendeleza Moto Baada ya Kuifungia Aalborg Goli 2 Wakiilaza Middelfart 4-0
- Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2025/2026
- Juventus Yaicharaza Inter Milan 4-3 Ligi Kuu Italia
- Singida BS Yatinga Fainali ya CECAFA Kagame Cup Baada ya Kuifunga KMC 2-0
- Ratiba 16 Bora Ndondo Cup 2025
- Ratiba ya Mechi za Leo 14 September 2025
- Sare Dakika za Mwisho Yaizuia Chelsea Kukaa Kileleni mwa Msimamo wa EPL
Leave a Reply