Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?

Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?

Baada ya watani wao wa jadi, Simba SC,almaharufu kama wekundu wa msimbazi kukamilisha sherehe ya siku yao inayojulikana kama Simba Day mnamo tarehe 10 Septemba 2025 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, sasa macho ya mashabiki wa soka nchini Tanzania yanahamia kwenye tukio lingine kubwa Wiki ya Mwananchi 2025 (Yanga Day). Sherehe hii ya kipekee inatarajiwa kuufanya Uwanja wa Benjamin Mkapa kulipuka kwa shamrashamra mnamo 12 Septemba 2025, ikisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii maarufu pamoja na mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga SC dhidi ya Bandari FC ya Kenya.

Saa Ngapi Mchezo Utaanza?

Swali ambalo limekuwa likiulizwa na mashabiki wengi ni: “Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?”
Kwa mujibu wa ratiba rasmi, mchezo huu utaanza saa 11:00 jioni na utarushwa mubashara kupitia Azam Sports 1 HD.

Yanga VS Bandari 12/09/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Romain Folz Aitaja Simba Katika Maandalizi ya Mechi ya Yanga na Bandari
  2. Kocha Ken Odhiambo Asema Bandari Imejipanga Kumkabili Bingwa Yanga
  3. Bakari Mwamnyeto Atoa Wito Kwa Mashabiki Kujitokeza Kwa Mkapa
  4. Mbosso Avunja Rekodi za Burudani Simba Day Kwa Performance Bora Zaidi
  5. Ratiba ya NBC Premier league 2025/2026
  6. Kikosi cha Simba Sc 2025/2026
  7. Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
  8. Safari ya Ronaldo Kuelekea Mabao 1000 Yafikia Hatua Mpya Baada Kufunga Dhidi Hungary
  9. Azam FC Yawapa Mkono wa Kwaheri Wanne Kwa Mpigo
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo