Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi | Ratiba Ya Mashindano Ya UEFA EURO 2024/2025
Ujerumani inajiandaa kuwa mwenyeji wa tamasha kubwa la soka barani Ulaya, michuano ya UEFA Euro 2024. Mtanange unaanza rasmi tarehe 14 Juni, huku wenyeji Ujerumani wakichuana vikali na Scotland katika mechi ya kwanza kabisa ya hatua ya makundi. Mashindano haya makubwa ya Euro 2024 yanatarajiwa kuwa ya kipekee zaidi, yakiwa na jumla ya nchi 24 zinazoshiriki na mechi 51 zitakazochezwa katika kipindi cha siku 30. Mabingwa watetezi, Italia, watakuwa wakipigania kutetea taji lao waliloshinda kwa mikwaju ya penalti mwaka 2020. Hata hivyo, wachambuzi wa soka wanazipa nafasi kubwa timu za England, Ufaransa, na Ujerumani kutwaa ubingwa huo.
Makundi 6 Ya EURO 2024;ย Vita Kali Kupigika Katika Hatua ya Makundi
Timu zote 24 zimegawanywa katika makundi sita, kila kundi likiwa na timu nne. Timu hizi zitachuana katika mfumo wa raundi moja, ambapo timu mbili bora kutoka kila kundi zitatinga hatua ya 16 bora. Pia, timu nne bora zilizoshika nafasi ya tatu zitajiunga na kundi la timu 16 bora. Hatua inayofuata itakuwa robo fainali, nusu fainali, na hatimaye fainali.
Makundi Yote Sita Ya EURO 2024
- Kundi A: Ujerumani, Scotland, Hungaria, Uswisi
- Kundi B: Hispania, Kroatia, Italia, Albania
- Kundi C: Slovenia, Denmark, Serbia, Uingereza
- Kundi D: Poland, Uholanzi, Austria, Ufaransa
- Kundi E: Ubelgiji, Slovakia, Romania, Ukraine
- Kundi F: Uturuki, Georgia, Ureno, Jamhuri ya Czech
Ratiba Ya EURO 2024, Hatua Ya Makundi
Juni 14 (Munich)
- Ujerumani ๐ฉ๐ช 5-1 Scotland ๐ด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ (Allianz Arena)
Juni 15
- Hungaria ๐ญ๐บ vs Uswisi ๐จ๐ญ (Cologne, RheinEnergieStadion, 15:00)
- Hispania ๐ช๐ธ vs Kroatia ๐ญ๐ท (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
- Italia ๐ฎ๐น vs Albania ๐ฆ๐ฑ (Dortmund, Signal Iduna Park, 21:00)
Juni 16
- Poland ๐ต๐ฑ vs Uholanzi ๐ณ๐ฑ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
- Slovenia ๐ธ๐ฎ vs Denmark ๐ฉ๐ฐ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
- Serbia ๐ท๐ธ vs Uingereza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)
Juni 17
- Romania ๐ท๐ด vs Ukraine ๐บ๐ฆ (Munich, Allianz Arena, 15:00)
- Ubelgiji ๐ง๐ช vs Slovakia ๐ธ๐ฐ (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
- Austria ๐ฆ๐น vs Ufaransa ๐ซ๐ท (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 21:00)
Juni 18
- Uturuki ๐น๐ท vs Georgia ๐ฌ๐ช (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
- Ureno ๐ต๐น vs Jamhuri ya Czech ๐จ๐ฟ (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)
Juni 19
- Kroatia ๐ญ๐ท vs Albania ๐ฆ๐ฑ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
- Ujerumani ๐ฉ๐ช vs Hungaria ๐ญ๐บ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
- Scotland ๐ด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ vs Uswisi ๐จ๐ญ (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)
Juni 20
- Slovenia ๐ธ๐ฎ vs Serbia ๐ท๐ธ (Munich, Allianz Arena, 15:00)
- Denmark ๐ฉ๐ฐ vs Uingereza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
- Hispania ๐ช๐ธ vs Italia ๐ฎ๐น (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)
Juni 21
- Slovakia ๐ธ๐ฐ vs Ukraine ๐บ๐ฆ (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 15:00)
- Poland ๐ต๐ฑ vs Austria ๐ฆ๐น (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
- Uholanzi ๐ณ๐ฑ vs Ufaransa ๐ซ๐ท (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)
Juni 22
Georgia ๐ฌ๐ช vs Jamhuri ya Czech ๐จ๐ฟ (Hamburg, Volksparkstadion, 15:00)
Uturuki ๐น๐ท vs Ureno ๐ต๐น (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
Ubelgiji ๐ง๐ช vs Romania ๐ท๐ด (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)
Juni 23
- Uswisi ๐จ๐ญ vs Ujerumani ๐ฉ๐ช (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 21:00)
- Scotland ๐ด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ vs Hungaria ๐ญ๐บ (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 21:00)
Juni 24
- Kroatia ๐ญ๐ท vs Italia ๐ฎ๐น (Leipzig, Red Bull Arena, 21:00)
- Albania ๐ฆ๐ฑ vs Hispania ๐ช๐ธ (Dรผsseldorf, Merkur Spiel-Arena, 21:00)
Juni 25
- Uholanzi ๐ณ๐ฑ vs Austria ๐ฆ๐น (Berlin, Olympiastadion, 18:00)
- Ufaransa ๐ซ๐ท vs Poland ๐ต๐ฑ (Dortmund, Signal Iduna Park, 18:00)
- Uingereza ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ vs Slovenia ๐ธ๐ฎ (Cologne, RheinEnergieStadion, 21:00)
- Denmark ๐ฉ๐ฐ vs Serbia ๐ท๐ธ (Munich, Allianz Arena, 21:00)
Juni 26
- Slovakia ๐ธ๐ฐ vs Romania ๐ท๐ด (Frankfurt, Deutsche Bank Park, 18:00)
- Ukraine ๐บ๐ฆ vs Ubelgiji ๐ง๐ช (Stuttgart, Mercedes-Benz Arena, 18:00)
- Jamhuri ya Czech ๐จ๐ฟ vs Uturuki ๐น๐ท (Hamburg, Volksparkstadion, 21:00)
- Georgia ๐ฌ๐ช vs Ureno ๐ต๐น (Gelsenkirchen, Veltins-Arena, 21:00)
Mapendekezo Ya Mhariri:
Weka Komenti