Yanga vs KVZ Leo 04/01/2025 Saa Ngapi?

Yanga vs KVZ Leo 04/01/2025 Saa Ngapi?

Timu ya wananchi Yanga SC leo inaanza rasmi kampeni yake katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kushuka dimbani dhidi ya KVZ, katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuamua mwelekeo wa safari yao mapema. Mchezo huo unatarajiwa kuwa wenye radha na ushindani wa aina yake kutokana na presha ya ushindi iliyo mbele ya Yanga, pamoja na dhamira ya KVZ kuandika historia dhidi ya bingwa huyo wa kihistoria wa Ligi Kuu yya Taznania Bara.

Yanga vs KVZ Leo Saa Ngapi?

Kwa mujibu wa ratiba ya michuano, mechi kati ya Yanga vs KVZ itachezwa leo saa 11:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja. Mchezo huo ni wa Kundi C katika Kombe la Mapinduzi, kundi ambalo lina ushindani mkubwa kutokana na kanuni ya kufuzu timu moja pekee kwenda nusu fainali.

  • 🏆 #mapinduzicup
  • 🆚 KVZ FC
  • 🗓️ 04 January 2026
  • 🏟️ Amaan Complex
  • ⏱️ Saa 11:00 Jioni

Yanga vs KVZ Leo 04/01/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Ratiba ya AFCON 2025 Hatua Ya 16 Bora
  2. Tanzania Yafuzu 16 Bora AFCON Kwa Mara ya Kwanza
  3. Matokeo ya Tanzania vs Tunisia Leo 30/12/2025
  4. Msimamo wa Kundi C La Tanzania AFCON 2025
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo