CV Ya Abdulrazak Hamza Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

CV Ya Abdulrazak Hamza Beki Mpya Wa Simba 2024/2025 | Wasifu wa Abdulrazak Hamza Profile

Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi kumsajili Abdulrazak Hamza, beki mahiri wa Kitanzania kutoka klabu ya SuperSport United ya Afrika Kusini inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini. Hamza, ambaye pia amewahi kucheza katika klabu za Mbeya City, KMC FC, na Namungo FC, ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili. Usajili wake unaongeza nguvu mpya kwenye safu ya ulinzi ya Simba, ikizingatiwa ujuzi na uzoefu wake wa kucheza katika ligi mbalimbali za ndani na nje ya nchi.

Katika chapisho hili Habariforum tumekuletea taarifa zote kuhusu beki huyu mpya wa Simba kuanzaia taarifa zake binafsi na safari yake ya soka la kulipwa kabla ya kusajiliwa na wekundu wa msimzi.

CV Ya Abdulrazak Hamza Beki Mpya Wa Simba 2024/2025

TaarifaMaelezo
Tarehe ya kuzaliwa/UmriMar 23, 2003 (21)
UraiaTanzania
NafasiBeki – Beki wa Kati
Wakala wa mchezaji13Sports Management
Klabu ya sasaSimba SC
Alijiunga4-Jul-24
Mkataba unamalizikaJun, 2026
Nafasi kuuBeki wa Kati
Thamani ya Soko la Sasa€150k (Kulingana na transfermarkt)

CV Ya Abdulrazak Hamza

Safari ya Sok ya Abdulrazak Hamza (Timu Alizochezea)

Historuia ya soka ya Abdulrazak Hamza inaonesha kua amewahi kuwa na mchango mkubwa kwa klabu mbalimbali nchini Tanzania na Afrika Kusini. Safari yake kupitia timu tofauti imemsaidia kujijengea uzoefu mkubwa na kuwa beki anayeaminika na hodari licha na umri wake kuwa mdogo. Hapa tumekuletea jedwari linaloonesha timu alizochezea Abdulrazak Hamza kabla ya kujiunga na Simba sc.

MsimuTareheTimu AliyotokaTimu Aliyojiunga
23/2419-Jul-23Namungo FCSuperSport United
21/2218-Jan-22KMC FCNamungo FC
21/221-Jul-21Mbeya CityKMC FC

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. CV ya Fadlu Davids: Kocha Mpya wa Simba SC (2024/2025)
  2. CV ya Ahoua Jean Charles Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
  3. Cv Ya Steven Mukwala Mchezaji Mpya Wa Simba 2024/2025
  4. Cv Ya Joshua Mutale Mchezaji wa Simba
  5. Jean Charles Ahoua Kurithi Mikoba ya Chama Simba 2024/2025

Habari Za Usajili Tanzania:

  1. Tetesi za Usajili simba 2024/2025
  2. Tetesi za Usajili Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/2025
  3. Wachezaji Waliosajiliwa Simba 2024/2025
  4. Wachezaji Wapya Yanga | Wachezaji Waliosajiliwa Yanga 2024/2025
  5. Wachezaji Wapya Azam 2024/2025 (Wachezaji Waliosajiliwa Azam FC)
  6. Azam Yatuma Ofa Kwa Simba Kumsajili Kipa Aishi Manula
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo