Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?

Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?

LEO, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Silver Striker kutoka Malawi, mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports3HD.

Wananchi wanaingia katika mchezo huu wakisaka ushindi wa zaidi ya goli moja ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.

Fuatilia Hapa Matokeo ya Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025

Yanga Vs Silver Strikers Leo 25/10/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Yanga SC Yatangaza Kuachana na Kocha Wake Romain Folz
  2. Timu Zilizofuzu Kombe la Dunia 2026
  3. Msimamo wa Ligi Kuu Zanzibar PBZ 2025/2026
  4. Matokeo ya Azam vs KMKM Leo 24/10/2025
  5. Pacome Anukia Kombe la Dunia Baada ya Ushindi 7-0 Dhidi ya Shelisheli
  6. Kaizer Chiefs Ya Thibitisha Kuachana na Kocha Nasreddine Nabi
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo