Wachezaji wa Soka U-21 Waliofanya Vizuri Msimu wa 2024/2025
Kutoka kwenye ligi tano kubwa barani Ulaya, hawa ndio wachezaji vijana chini ya umri wa miaka 21 walioibuka na kung’ara zaidi msimu wa 2024/2025—na kuonyesha dalili zote za kuwa mastaa wa kiwango cha dunia katika miaka ijayo.
Ingawa ni nadra sana kumpata mchezaji wa kipekee kama Lionel Messi au Cristiano Ronaldo, bado vipaji vipya vinaendelea kuchomoza kila msimu, vikiwa na uwezo mkubwa wa kufikia mafanikio makubwa katika soka la kisasa. Katika makala hii, tumekuletea orodha ya vijana waliotamba zaidi duniani, tukizingatia vigezo vya mafanikio yao kwenye ngazi ya klabu au timu ya taifa pamoja na uwezo wao wa baadaye. Hawa ni vijana waliotia fora msimu huu na wanaotazamwa kwa jicho la matumaini na mashabiki wa kandanda kote duniani.
Nafasi | Mchezaji | Timui | Umri |
1 | Lamine Yamal | Barcelona | 17 |
2 | Desire Doue | Paris Saint-Germain | 19 |
3 | Joao Neves | Paris Saint-Germain | 20 |
4 | Pau Cubarsi | Barcelona | 18 |
5 | Endrick | Real Madrid | 18 |
6 | Arda Guler | Real Madrid | 20 |
7 | Warren Zaire-Emery | Paris Saint-Germain | 19 |
8 | Kenan Yildiz | Juventus | 20 |
9 | Gavi | Barcelona | 20 |
10 | Myles Lewis-Skelly | Arsenal | 18 |
11 | Kobbie Mainoo | Manchester United | 20 |
12 | Dean Huijsen | Real Madrid | 20 |
13 | Ethan Nwaneri | Arsenal | 18 |
14 | Leny Yoro | Manchester United | 19 |
15 | Alejandro Garnacho | Manchester United | 20 |
16 | Rico Lewis | Manchester City | 20 |
17 | Kendry Paez | Independiente del Valle | 18 |
Mapendekezo ya Mhariri:
- Siku ya Kuripoti Chuo cha Polisi Moshi 2025 kwa Vijana Waliochaguliwa
- Michezo ya Yanga Sc Iliobaki Msimu wa 2024/2025
- Wachezaji wa Yanga Walioitwa Kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa June 2025
- Kikosi cha Taifa Stars kilichoitwa kambini Kuelekea COSAFA na Mechi ya Kirafiki
- Dembélé Amechaguliwa Kuwa Mchezaji Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya 2024/25
- Wafungaji Bora Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
Leave a Reply