Simba vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?

Simba vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?

Wekundu wa Msimbazi Simba leo wanashuka dimbani kwa ajili ya kumalizia mechi ya marudiano ya hatua za awali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League). Mchezo huu muhimu dhidi ya Gaborone United kutoka Botswana umepangwa kufanyika Jumapili, tarehe 28 Septemba 2025 majira ya saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mashabiki wa soka nchini na barani Afrika kwa ujumla wanatarajia pambano hili litakaloamua hatma ya Simba katika safari yake ya kuelekea hatua inayofuata ya michuano hiyo mikubwa barani.

Simba vs Gaborone Leo 28/09/2025 Saa Ngapi?

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Matokeo ya Yanga vs Wiliete SC Leo 27/09/2025
  2. Yanga vs Wiliete SC Leo 27/09/2025 Saa Ngapi?
  3. Kikosi cha Yanga vs Wiliete SC Leo 27/09/2025
  4. KMKM Yatinga Raundi ya Pili ya CAF Baada ya Kuichapa AS Port ya Djibouti
  5. Sergio Busquets Atangaza Kustaafu Soka Mwishoni Mwa Msimu Huu
  6. Kocha Folz Aahidi Ushindi Mkubwa Mechi ya Marudiano Dhidi ya Wiliete
  7. Yanga SC Yazindua Jezi Mpya Ili Kulinda Mapato Dhidi ya Jezi Feki
  8. Msimamo wa Ligi kuu NBC Tanzania 2025/2026
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo