Msimamo Wa Makundi Copa America 2024

Msimamo Wa Makundi Copa America 2024 | Msimamo wa Kundi, A,B,C na D Copa America 2024

Michuano ya Copa America 2024 inatarajiwa kuanza kutimua vumbi June 20 2024 nchini Marekani, huku timu za mataifa 16 yakichuana vikali katika kumtafuta bingwa wa soka America. Ni mashindano yanayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka Duniani kote, yakileta pamoja majina makubwa kutoka CONMEBOL na CONCACAF.

Je, Brazil na Argentina wataendelea kudhihirisha ubora wao, au tutashuhudia miujiza kutoka timu za Amerika ya Kaskazini? Jiunge nasi hapa Habariforum.com tunapochunguza msimamo wa makundi, ratiba, na mambo mengine yanayotikisa Copa America.

Msimamo Wa Makundi Copa America 2024 | Msimamo wa Kundi, A,B,C na D Copa America 2024

Ratiba ya Mashindano Copa America 2024

  • Hatua ya Makundi: Juni 20 – Julai 2
  • Robo Fainali: Julai 4 – 6
  • Nusu Fainali: Julai 9 na 10
  • Mchuano wa Mshindi Nafasi ya Tatu: Julai 13
  • Fainali: Julai 14

Msimamo Wa Makundi Copa America 2024

Kundi A GP W D L F A GD P
1 Argentina 0 0 0 0 0 0 0 0
2 Peru 0 0 0 0 0 0 0 0
3 Chile 0 0 0 0 0 0 0 0
4 Canada 0 0 0 0 0 0 0 0
Kundi B GP W D L F A GD P
1 Mexico 0 0 0 0 0 0 0 0
2 Ecuador 0 0 0 0 0 0 0 0
3 Venezuela 0 0 0 0 0 0 0 0
4 Jamaica 0 0 0 0 0 0 0 0
Kundi C GP W D L F A GD P
1 United States 0 0 0 0 0 0 0 0
2 Uruguay 0 0 0 0 0 0 0 0
3 Panama 0 0 0 0 0 0 0 0
4 Bolivia 0 0 0 0 0 0 0 0
Kundi D GP W D L F A GD P
1 Brazil 0 0 0 0 0 0 0 0
2 Colombia 0 0 0 0 0 0 0 0
3 Paraguay 0 0 0 0 0 0 0 0
4 Costa Rica 0 0 0 0 0 0 0 0

Mapendekezo Ya Mhariri:

  1. Msimamo Kundi la Tanzania Kufuzu Kombe La Dunia 2026
  2. Msimamo Makundi ya EURO 2024
  3. Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2023/2024 PBZ Premier League Table
  4. Msimamo Ligi ya Vijana Ya NBC U20 Premier League 2023/2024
  5. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2023/2024
  6. Msimamo Ligi Kuu Ujerumani Bundesliga 2023/24
  7. Msimamo wa Ligi Kuu Hispania La Liga 2023/2024
  8. Msimamo Wa Ligikuu Ya NBC Tanzania 2023/2024
Nina uzoefu wa miaka zaidi 6 katika uandishi wa habari nchini Tanzania. Shauku yangu ni kuleta habari muhimu katika nyanja mbalimbali ikiwemo Elimu na Michezo