Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Leo 30/11/2025
Leo, Ligi Kuu ya NBC inaendelea kwa michezo miwili muhimu itakayopigwa mchana na jioni, huku mashabiki wakitarajia burudani kutoka viwanja tofauti nchini.
Mechi za Leo
🕐 Saa 8:00 Mchana
- Mbeya City vs Namungo FC
- Uwanja: Sokoine, Mbeya
🕥 Saa 10:15 Jioni
- Fountain Gate vs JKT Tanzania
- Uwanja: Tanzanite Kwaraa
Mapendekezo ya Mhariri:
- Msimamo Kundi la Simba Klabu Bingwa 2025/2026
- Singida BS vs StellenBosch Leo 30/11/2025 Saa Ngapi?
- Ratiba ya Mechi za CAF Leo 30/11/2025
- Kikosi cha Simba vs Stade Malien leo 30/11/2025
- Stade Malien vs Simba leo 30/11/2025 Saa Ngapi?
- Msimamo Kundi la Yanga Klabu Bingwa 2025/2026
- Matokeo ya JS Kabylie vs Yanga Leo 28/11/2025
- Ratiba ya Mechi za CAF Leo 28/11/2025







Leave a Reply