Ajira za Afya Tanzania 2024: TAMISEMI Yatangaza Nafasi 9,000+!
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa imetangaza nafasi 9483 za ajira katika nyanja mbalimbali ndani ya sekta ya afya. Hii ni habari njema kwa wahitimu wote wa kozi za afya Tanzania ambao wamekidhi vigezo na wapo katika kipindi cha kutafuta ajira, kwani nafasi hizi ni fursa nzuri kwao kujiendeleza kitaaluma, kutumikia jamii na kujenga mustakabali bora wa afya nchini.
Ajira za Afya Tanzania 2024: TAMISEMI Yatangaza Nafasi 9,000+!
Utumaji wa maombi ya ajira mpya za afya zilizotangazwa na TAMISEMI julai 2024 umefunguliwa rasmi, na sekta ya afya nchini Tanzania inakaribisha wataalamu wapya kujiunga na kada mbalimbali. Katika tangazo lililotolewa na TAMISEMI, jumla ya nafasi 9483 zimetangazwa na waombaji wote wanatakiwa kutuma maombi kabla ya julai 20 2024. Katika tangazo hilo la ajira, nafasi mbalimbali za kada za afya zimeainishwa, zikiwemo:
Fundi Sanifu Vifaa Tiba Daraja La II (Biomedical Engineering Technician II) Nafasi 86
Mkoa Wa Arusha 4, Dar Es Salaam 3, Dodoma 26, Geita 2, Iringa 2, Kagera 1, Katavi 3, Kigoma 1, Lindi 5, Mara 4, Mbeya 3, Morogoro 2, Mtwara 5, Mwanza 3, Njombe 3, Ruvuma 2, Simiyu 4, Singida 2, Songwe 4, Tabora 3, Tanga 4
Tabibu Msaidizi Daraja La II (Clinical Assistant II) – Nafasi 636
Mkoa Wa Arusha 9, Dar Es Salaam 3, Geita 38, Iringa 26, Kagera 18, Katavi 32, Kigoma 29, Kilimanjaro 25, Lindi 19, Manyara 15, Mara 24, Mbeya 28, Morogoro 18, Mtwara 49, Mwanza 17, Njombe 18, Pwani 18, Rukwa 26, Ruvuma 23, Shinyanga 28, Simiyu 33, Singida 24, Songwe 24, Tabora 39 Na Tanga 53
Afisa Mlezi Wa Watoto Msaidizi Daraja La II (Assistant Child Care Officer Grade II) – Nafasi 2
Mkoa Wa Iringa
Afisa Muuguzi Daraja La II (Nursing Officer II) – Nafasi 301
Mkoa Wa Arusha 11, Dar Es Salaam 21, Dodoma 11, Geita 13, Iringa 4, Kagera 21, Katavi 23, Kigoma 6, Kilimanjaro 13, Lindi 11, Manyara 11, Mara 9, Mbeya 9, Morogoro 13, Mtwara 30, Njombe 10, Pwani 12, Rukwa 10, Shinyanga 12, Simiyu 11, Singida 11, Songwe 7, Tabora 12 Na
Tanga 10
Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja La II – (Assistant Nursing Officer II) Nafasi 1016
Mkoa Wa Arusha 22, Dar Es Salaama 39, Dodoma 48, Geita 32, Iringa 9, Kagera 71, Katavi 55, Kigoma 45, Kilimanjaro 54, Lindi 25, Manyara 14, Mara 25, Mbeya 34, Morogoro 81, Mtwara 74, Mwanza 19, Njombe 21, Pwani 25, Rukwa 15, Ruvuma 72, Shinyanga 36, Simiyu 30, Singida 45, Songwe 10, Tabora 65 Na Tanga 50
Tabibu Daraja La II (Clinical Officer II) Nafasi – 1239
Mkoa Wa Arusha 38, Dar Es Salaam 42, Geita 80, Iringa 49, Kagera 61, Katavi 21, Kigoma 54, Kilimanjaro 34, Lindi 35, Manyara 51, Mara 39, Mbeya 36, Morogoro 49, Mtwara 50, Mwanza 60, Njombe 32, Pwani 67, Rukwa 37, Ruvuma 61, Shinyanga 58, Simiyu 32, Singida 50, Songwe 22,Tabora 51,Tanga 95, Dodoma 35
Mfamasia Daraja La II (Pharmacist II) Nafasi – 128
Mkoa Wa Kilimanjaro 4, Lindi 9, Manyara 1, Mara 8, Mbeya 6, Morogoro 9, Mtwara 15, Njombe 1, Pwani 4, Ruvuma 3, Shinyanga 3, Simiyu 1, Singida 1, Songwe 5, Tabora 1, Tanga 4, Arusha 4, Dar Es Salaam 8, Dodoma 7, Geita 4, Iringa 2, Kagera 13, Katavi 3, Kigoma 12
Afisa Mteknolojia Daraja La II – Maabara (Health Laboratory Scientistsii ) – Nafasi 57
Mkoa Wa Kagera 5, Katavi 1, Kilimanjaro 2, Lindi 4, Manyara 2, Mara 3, Mbeya 1, Morogoro 3, Mtwara 2, Mwanza 2, Njombe 2, Pwani 2, Ruvuma 6, Shinyanga 1, Simiyu 2, Singida 7, Songwe 1, Tanga 5, Kigoma 2, Tabora 1, Kahama 1, Arusha 1, Rukwa 1
Fiziotherapia Daraja La II (Physiotherapist II) – Nafasi 83
Mkoa Wa Arusha 1, Dodoma 3, Geita 2, Iringa 3, Kagera 5, Katavi 1, Kigoma 1, Kilimanjaro 5, Lindi 4, Manyara 4, Mara 8, Mbeya 7, Morogoro 4, Mtwara 1, Njombe 1, Pwani 7, Ruvuma 8, Shinyanga 4, Simiyu 3, Singida 2, Songwe 1, Tabora 6, Tanga 2
Daktari Bingwa Wa Kinywa Na Meno Daraja La II (Dental Secialist II) – Nafasi 1
Mkoa Wa Mara
Daktari Wa Upasuaji Wa Kinywa Na Meno Daraja La II (Dental Surgeon II) – Nafasi 111
Mkoa Wa Arusha 1, Dar Es Salaam 2, Dodoma 5, Geita 5, Iringa 3, Kagera 23, Katavi 4, Kigoma 5, Kilimanjaro 4, Lindi 9, Manyara 2, Mara 1, Mbeya 3, Morogoro 3, Mtwara 2, Mwanza 5, Njombe 3, Pwani 3, Ruvuma 8, Shinyanga 3, Simiyu 6, Singida 1, Songwe 2, Tabora 7, Tanga 1
Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja La II (Dental Therapist II) – Nafasi 210
Mkoa Wa Arusha 13, Dar Es Salaam 14, Dodoma 9, Geita 4, Iringa 1, Kagera 8, Katavi 3, Kigoma 17, Kilimanjaro 6, Lindi 4, Manyara 6, Mara 9, Mbeya 21, Morogoro 9, Mtwara 17, Njombe 10, Pwani 10, Ruvuma 11, Shinyanga 7, Simiyu 4, Songwe 4, Tabora 7, Tanga 16
Katibu Wa Afya Daraja La II (Health Secretary II) – Nafasi 41
Mkoa Wa Arusha 3, Dar Es Salaam 5, Geita 1, Kagera 4, Kigoma 2, Kilimanjaro 1, Lindi 2, Mara 5, Mbeya 1, Mtwara 1, Mwanza 1, Njombe 1, Pwani 1, Rukwa 2, Ruvuma 1, Simiyu 1, Singida 1, Songwe 2 Na Tanga 6
Afisa Fiziotherapia Dalaja La II (Physiotherapy Officer II) -Nafasi 11
Mkoa Wa Dar Es Salaam 4, Geita 3, Mwanza 2, Na Pwani 2
Afisa Afya Mazingira Daraja La II (Enviromental Health Officer II) – Nafasi 124
Mkoa Wa Tanga 19, Shinyanga 1, Kigoma 7, Njombe 1, Mtwara 3. Iringa,2 Dar Es Salam 7, Kagera 18, Katavi 2, Arusha 3, Nwanza 13, Simiyu 3, Mara 2, Pwani 11, Geita 3, Mbeya 2, Lindi 5, Rukwa 2
Afisa Afya Mazingira Msaidizi Daraja La II (Assistant Enviromental Health Officer II) -Nafasi 276
Mkoa Wa Tanga 19, Kigoma 11, Njombe 16, Mtwara 13, Dar Es Salam 14, Iringa 7, Kagera 6, Morogoro 14, Arusha 10, Mwanza 11, Simiyu 3, Mara 13, Pwani 15, Geita 13, Lindi 7, Rukwa 14, Kilimanjaro 11, Dodoma 15, Songwe 5, Tabora 9, Manyara 10, Singida 5, Ruvuma 13, Katavi 3, Shinyanga 6, Mbeya 13
Msaidizi Afya Ya Mazingira Daraja La II (Enviromental Health Assistant II) – Nafasi 122
Mkoa Wa Katavi 4, Arusha 2, Simiyu 4, Mara 7, Geita 19, Ruvuma 5, Lindi 6, Mbeya 3, Kilimanjaro 3, Morogoro 4, Iringa 2, Dodoma 14, Kigoma 4, Manyara 4, Tanga 2, Singida 2, Kagera 13, Mwanza 9 , Mtwara 5, Njombe 2, Tabora 8
Mteknologia Msaidizi Daraja La II – Maabara (Assistant Laboratory Technologist II) – Nafasi 146
Mkoa Wa Dar Es Salam 5, Shinyanga 11, Dodoma 15, Njombe 5, Tanga 17, Iringa 2, Kagera 4, Morogoro 7, Simiyu 6, Pwani 6, Rukwa 5, Kigoma 2, Katavi 5, Arusha 10, Manyara 7, Mwanza 3, Geita 2, Tabora 12, Songwe 4, Ruvuma 18
Mteknolojia Msaidizi – Radiolojia (Assistant Technologist -Radiology II) – Nafasi 15
Mkoa Wa Dar Es Salam 4, Dodoma 5, Iringa 3, Morogoro 1, Kigoma 1, Tabora 1.
Mteknolojia Msaidizi – Dawa (Assistant Technologist – Pharmacy II) – Nafasi 63
Mkoa Wa Dar Es Salam 4, Dodoma 10, Simiyu 5, Iringa 6, Kigoma 1, Katavi 2, Morogoro 2, Tanga 5, Rukwa 3, Arusha 6, Manyara 5, Mwanza 4, Geita 2, Tabora 8, Majukumu Ya Kazi
Afisa Lishe Daraja La II (Nutrition Officer II) – Nafasi 129
Mkoa Wa Arusha 2, Dar Es Salaam 4, Dodoma 6, Geita 4, Iringa 6, Kagera 8, Kigoma 7, Kilimanjaro 5, Lindi 8, Manyara 9, Mara 8, Mbeya 5, Morogoro 9, Mtwara 6, Mwanza 1, ,Njombe 5, Pwani 16, Shinyanga 3, Simiyu 7, Singida 5, Songwe 2, Tanga 3.
Fundi Sanifu Msaidizi Vifaa Tiba (Assistant Biomedical Technician) – Nafasi 5
Mkoa Wa Simiyu 4, Tanga 1
Daktari Bingwa Wa Watoto Daraja La II (Medical Specialist – Peditrician II) – Nafasi 4
Mkoa Wa Dar Es Salaam 3, Kilimanjaro 1
Daktari Bingwa Magonjwa Ya Ndani Daraja La II (Medical Specialist – Internal Medicine II) – Nafasi 7
Mkoa Wa Kilimanjaro 1, Songwe 1, Dar Es Salaam 4, Morogoro 1
Daktari Bingwa Wa Magonjwa Ya Wakina Mama II (Medical Specialist – Gynaecologist II) – Nafasi 9
Mkoa Wa Songwe 1, Dar Es Salaam 5, Mtwara 1, Katavi 1, Mara 1
Daktari Bingwa Wa Upasuaji Daraja La II (Medical Specialist -General Surgeon II) – Nafasi 5
Mkoa Wa Kilimanjaro 1, Dar Es Salaam 3, Morogoro 1
Daktari Bingwa Wa Masikio, Pua Na Koo II (Medical Specialist – Ear, Nose And Throat II) – Nafasi 1
Dar Es Salaam
Daktari Daraja La II (Medical Officer II) Nafasi – 726
Mkoa Wa Arusha 24, Dar Es Salaam 34, Iringa 18, Kigoma 25, Kilimanjaro 32, Njombe 20, Mwanza 34, Ruvuma 30, Mtwara 26, Kagera 32, Lindi 46, Manyara 17, Mara 49, Morogoro 38, Mbeya 30, Pwani 28, Rukwa 9, Shinyanga 18, Simiyu 12, Singida 19, Songwe 20, Tabora 27, Tanga 40, Geita 29, Dodoma 48, Katavi 21.
Mhandisi Vifaa Tiba Daraja La II (Biomedical Engineer II) – Nafasi 11
Mkoa Wa Kagera 3, Mara 1, Mbeya 2, Morogoro 1, Mtwara 1, Mwanza 2, Simiyu 1
Msaidizi Wa Afya (Health Assistant) Nafasi – 1057
Mkoa Wa Arusha 31, Dar Es Salaam 37, Dodoma 43 Geita 47, Iringa 40, Kagera 17, Katavi 54, Kigoma 36, Kilimanjaro 8, Lindi 57, Manyara 39, Mara 64, Mbeya 45, Morogoro 25, Mtwara 32, Mwanza 35, Njombe 35, Pwani 59, Rukwa 25, Shinyanga 44, Simiyu 38, Singida 71, Songwe 10, Tabora 70, Tanga 57, Ruvuma 38.
Mtoa Tiba Kwa Vitendo Daraja La II (Occupational Therapist II) – Nafasi 12
Mkoa Wa Iringa 2, Kilimanjaro 3, Morogoro 1, Mtwara 1, Njombe 1, Ruvuma 1, Tanga 3
Mteknolojia Wa Maabara Daraja II (Health Laboratory Technologist II) – Nafasi 322
Mkoa Wa Tanga 21, Singida 16, Morogoro 15, Iringa 15, Songwe 6, Kilimanjaro 19, Pwani 11, Geita 20, Tabora 14, Dar Es Salaam 7, Arusha 11, Mwanza 11, Kagera 18, Katavi 9, Dodoma 8, Shinyanga 9, Mtwara 18, Njombe 4, Ruvuma 32, Simiyu 14, Mara 12, Mbeya 5, Kigoma 11, Lindi 11, Manyara 5
Mteknolojia Wa Radiografa II – Radiolojia (Radiography Technologist II – Radiology) – Nafasi 103
Mkoa Wa Tanga 5, Songwe 2, Iringa 2, Kilimanjaro 4, Pwani 4, Geita 1, Dar Es Salaam 11, Arusha 6, Mwanza 2, Katavi 3, Rukwa 3, Morogoro 3, Mtwara 9, Njombe 7, Mbeya 7, Kigoma 2, Lindi 1, Manyara 11, Dodoma 2, Ruvuma 3, Tabora 10, Shinyanga 3, Singida 2
Mteknolojia Dawa Daraja II – (Technologist Pharmacy II) Nafasi 128
Mkoa Wa Tanga 8, Singida 5 , Morogoro 1, Songwe 2, Iringa 3, Kilimanjaro 3, Pwani 11, Geita 4, Dar Es Salaam 10, Arusha 5, Mwanza 8, Katavi 4, Dodoma 7, Shinyanga 4, Mtwara 11 , Mara 5, Simiyu 6, Kigoma 2, Lindi 8, Manyara 3, Mbeya 2, Ruvuma 4, Njombe 2, Tabora 10
Mteknolojia Wa Macho Daraja II (Technologist – Optometrist II) Nafasi 6
Mkoa Wa Arusha 4, Morogoro 1, Mbeya 1
Mteknolojia Wa Meno Daraja II (Dental Technologist II) Nafasi 3
Mkoa Wa Dar Es Salaam 1, Mwanza 2
Muuguzi II (Nurse II) – Nafasi 2282
Mkoa Wa Arusha 65, Dar Es Salaam 96, Dodoma 133, Geita 90, Iringa 68, Kagera 125, Katavi 51, Kigoma 85, Kilimanjaro 65, Lindi 109, Manyara 125, Mara 95, Mbeya 83, Morogoro 71, Mtwara 155, Mwanza 89, Njombe 48, Pwani 86, Rukwa 52, Ruvuma 72, Shinyanga 77, Simiyu 72, Singida 116, Songwe 58, Tabora 79 Na Tanga 117
Mahitaji Muhimu ya Kutuma Maombi Ajira Za Afya Julai 2024
Kabla ya kutuma maombi ya Ajira mpya za Afya zilizotangazwa na TAMISEMI julai 2024, ni muhimu kuhakikisha unakidhi vigezo na mahitaji yote yanayotakiwa. Hapa chini ni orodha ya mahitaji ya jumla:
- Elimu na Uzoefu: Lazima uwe na elimu ya kutosha katika kada ya afya unayotuma maombi. Vyeti na cheti cha usajili kutoka bodi husika ni muhimu.
- Taarifa Binafsi: Hakikisha una taarifa zote muhimu kama vile jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, namba ya simu, na anuani ya barua pepe.
- Nyaraka Muhimu: Uhakikishe una nakala za vyeti vyote muhimu, cheti cha kuzaliwa, na cheti cha usajili.
Kwa maelezo zaidi kuhusu fursa hizi za ajira, tafadhali pakua tangazo rasmi la TAMISEMI kupitia >> Bofya Hapa Kupakua PDF
Jinsi Ya Kutuma Maombi
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira(Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; portal.ajira.go.tz
Mapendekezo ya Mhariri:
Weka Komenti